Dhambi zamtafuna huyu Mwarabu mweusi. Pole Sefu
Wanasema kama Nyerere angejua angemtwanga risasi ya kichwa 1991 huu usumbufu usingekuwepo.
Dhambi zamtafuna huyu Mwarabu mweusi. Pole Sefu
Hapana sio la Muungano ,ni mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania na East Africa ,na pia naweza kusema ni mdau wa harakati za ukombozi hapa Tanzania dhini ya ukoloni mweusi.
Mkuu usilete machozi ya mamba jamvini hapa.Nafikiri kuna ukosefu wa ubinaadamu kwa baadhi ya watu humu JF ,na hii inatokana kwa watu hao kujiona wao ni wenye kumiliki uhai.
Mtu ni mgonjwa hata angekuwa binadamu kutoka chama kingine basi sio jambo jema kusema au kutoa maoni machafu ,kama ni mstaarabu ni bora ukakaa kimya.
Hata hao viongozi wenu ,bila ya shaka yeyote ile wanampa maalim Seif Heshima yake ,iwe wewe mburu matari wa humu JF unaeandika ufedhuli ,nielewavyo heshima ni kitu cha bure.
Hapo vilipofikia vyama vingine vya upinzani kusema na kutoa sauti basi yote stage hiyo ilitokana na Maalim Seifu ,hebu ichunguze siasa ya Tanzania na chunguza mikutano yote ,utaona ni mikutano gani ambayo ilikuwa ikihutubiwa kwa ukali wa kupambana na serikali, tokea uwepo wa vyama vingi. Ushujaa huo ndio ambao leo hii ,wengine wamekuwa na kauli za kuishutumu serikali kwenye majukwaa.
Mkuu usilete machozi ya mamba jamvini hapa.
Malim Sefu is an outcast right now katika Tanzanian politics.
Ametenda the cardinal sin ya kuleta ubaguzi wa waTanganyika na waZanzibar akitegemea yeye kujipatia urais wa Zazibar-ndoto yake ya siku zote.
Katika kutekeleza hilo wafuasi wake wamediriki kuchoma nyumba za ibada.
Mungu si Asumani na majibu anatoa hapa hapa.
Leo Mwiba unataka tumwone Sefu mtu baada ya kuhamasisha watu kuwaita waTanganyika makafiri, machogo, wakoloni weusi na maneno mengi ya dharau na matusi.
Watanganyika ni wavumilivu sana lakini matukio ya hivi majuzi yamewaamsha na kuwaona waZanzibar kama walivyo, wabaguzi wa kupindukia.
Mwiba, Maalim Sefu hawezikupendwa leo baada ya mbegu ya udini, chuki na ubaguzi alizozipanda kkuanza kmea na kushika kasi.
Mtu apandacho ndicho avunacho.
Mkuu mimi SI CHADEMA,ningependa kukuhakikishia kuwa mimi ni Mtanganyika pyua!Je unaweza kutoa ushahidi kwa hayo unayomtwisha Maalim Seif ,au ndio bendera ,angalia sana habari za kisiasa ,hivi inaposemwa CHADEMA ni chama kinachofuata mfumo kristo na Dr Slaa anawataka wale wote wanaojiunga anawafuata lichinichini awageuze na kuwafanya wakiristo !
Hivyo usimuhukumu mtu kwa habari za kisiasa utakuwa unapotea sana .mi nakupa pole sana ,kwani unajichanganya na inaonyesha huijui siasa.
Mkuu mimi SI CHADEMA,ningependa kukuhakikishia kuwa mimi ni Mtanganyika pyua!
Maalim Sefu nimekuwa namfuatilia toka akiwa CCM, mambo yake hakuanza leo.
Kuna jamaa hapo nyuma kasema, kanzu analovaa Maalim kisiasa kila mtu analifahamu!
Mwiba na wenzako hamna ustaarabu wa kukubali kuwa Watanganika waliowengi wamekerwa san na tabia yenu ya kuchoma makanisa.
Sasa Maalim akiumwa, so what?
Hapo twampa pole tu apone haraka, mengine twamwachia Mola.
Lakini vurugu za Uamsho si tunda lake?
Huruma yangu mkuu is not that cheap!
Tunda lake kivipi ,ndio nikasema una ushahidi ? Hujaambiwa umtakie mtu huruma !
Hivi migomo inatokana na Chadema ,ila kisiasa unaweza ukawasukumizia CDM kama hivyo wewe unavyomsukumia Maalim Seif au sivyo ?
Mwiba hivi Abdul Jumbe yupo? hao ndio wanaomjua vizuri Maalim Seif Sharrif kuliko wewe, vurugu zote za Muungano mpaka walipoamua kuungana huko Visiwani ni nani? na kwa nini asiachie na wenzake wagombee nafasi hiyo ya Urais?
Du Namuombea apone ashuhudie jinsi MUUNGANO UNAVYODUMU na waarabu weusi wanavyoombuka na harakati zao za ubaguzi wa kiDINI
​mungu analipa mnafiki hapa duniani
Je unaweza kutoa ushahidi kwa hayo unayomtwisha Maalim Seif ,au ndio bendera ,angalia sana habari za kisiasa ,hivi inaposemwa CHADEMA ni chama kinachofuata mfumo kristo na Dr Slaa anawataka wale wote wanaojiunga anawafuata lichinichini awageuze na kuwafanya wakiristo !
Hivyo usimuhukumu mtu kwa habari za kisiasa utakuwa unapotea sana .mi nakupa pole sana ,kwani unajichanganya na inaonyesha huijui siasa.
Nafikiri kuna ukosefu wa ubinaadamu kwa baadhi ya watu humu JF ,na hii inatokana kwa watu hao kujiona wao ni wenye kumiliki uhai.