Maalim Seif Sharifu Hamadi ni mgonjwa

Maalim Seif Sharifu Hamadi ni mgonjwa

Status
Not open for further replies.

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti wala vyombo vya habari.
Mwenyezi Mungu amjaalie uzima na arudi katika afya yake ya kawaida.
 
Hata Lowassa nae tunasikia kila mara mgonjwa, lakini inafichwa fichwa (sijui ndo urais 2015)!
 
maalim ni binaadam kama binaadam wengine, si ajabu kuumwa, mungu amuafu arejee kazini.
 
Mwiba kwani ugonjwa wa Maalim Seif Sharif Hamad ni suala la muungano ?.

Hapana sio la Muungano ,ni mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania na East Africa ,na pia naweza kusema ni mdau wa harakati za ukombozi hapa Tanzania dhini ya ukoloni mweusi.
 
maalim ni binaadam kama binaadam wengine, si ajabu kuumwa, mungu amuafu arejee kazini.
Ila ni kiongozi ,sikumuona katika maombolezo ya meli iliozama ,nikafikiri alikuwemo ndio nikaulizia nikaambiwa ,ni mgonjwa taabani.
 
Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti wala vyombo vya habari.
Mwenyezi Mungu amjaalie uzima na arudi katika afya yake ya kawaida.

Pole kwa maradhi Mhe. Maalim Seif Sharif, japo sera zako zaKibabe ndio zilizopelekea CUF kubaki jina baada ya kifo cha kisiasa kukikumba.
Lakini kwa hili la maradhi tuko pamoja na tunakutakia kila la KHERI upate ahueni na urudi kulitumikia TAIFA Kama Kawaida.
 
Namuombea apone haraka. mara nyingine watu hawapendi magonjwa yao yajulikane na public.
 
Kama huwezi kushindana nae jiunge nae....ccm wamejiunga nae baada ya kuona hawawezi kushindana nae
 
Asante kwa taarifa

get well soon maalim
 
Hapana sio la Muungano ,ni mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania na East Africa ,na pia naweza kusema ni mdau wa harakati za ukombozi hapa Tanzania dhini ya ukoloni mweusi.

Nadhani unamaanisha siasa za nchi ya zanzibar...
 
Get well soon Maalimu, ila ukipona rudi na njia mpya ondoka katika choo cha kike ambacho uliingizwa na CCM.
 
Na yule aliyekua na ugonjwa wa kuangukaanguka vipi alishapona??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom