Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Pole sana Ngongo yaani kwanini wasiwashushe hapo AM hotel au zile hotel mbili mwanzoni kule ukikata kona zilizopo karibu na AM.
Kumbuka kuwa Maalim Sio Muhuni kwani ana Mke wa halali kabisa Bi Awena. Muuni ni yule mwenye kupora watu wake zao kama alivyofanya Dr.
Ungenyoosha tu kuwa muhuni ni yule asiye na mke.
Uhuni wa kupora wake za watu utakuwa umeanza zamani, Zaynab bint Jash mke wa Zayd naye aliporwa huko Middle East na mtu mmoja as powerful as Dokta