Maalim Seif Sharif chonde chonde acha uhuni

Maalim Seif Sharif chonde chonde acha uhuni

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,199
Reaction score
37,526
Wakuu leo ni zamu ya wakazi wa jiji la Arusha kutoa maoni ya uundwaji wa katiba mpya.Ni mategemeo yangu wanaJF wengi wa Jiji la Arusha watashiriki kikamilifu.

Ikumbukwe CUF walifanya mkutano jijini Arusha miezi kadhaa na kukumbwa na kashfa ya kusomba wanachama wake wa mikoa ya Morogoro,Dar na Pemba.Leo tena CUF imesomba wanachama wake kwaajili ya kushiriki na kutoa maoni hapa Arusha.Wanachama wa CUF wameshukia Annex Arusha by Night mkabala na uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Naomba kuwasilisha.
 
Sasa huu uhuni wa kitoto kabisa. Watu wa Arusha tunawafahamu, sasa watakapoanzisha varangati kuwabonda na mawe hao Wapemba na makabwela wa Buguruni watasema wameonewa?

Na najua tu CUF wanatumiwa na mume wao CCM, hakuna zaidi. Mbona hawakusomba watu kuwapeleka Uzini wakati wa uchaguzi mdogo?
 
cuf wanaleta mchezo kwenye suala nyeti la katiba, wanataka kuteka mchakato wa maoni ya katiba, chonde chonde cuf acheni wananchi wenyewe wa maeneo husika watoe maoni yao.
 
Wakuu leo ni zamu ya wakazi wa jiji la Arusha kutoa maoni ya uundwaji wa katiba mpya.Ni mategemeo yangu wanaJF wengi wa Jiji la Arusha watashiriki kikamilifu.

Ikumbukwe CUF walifanya mkutano jijini Arusha miezi kadhaa na kukumbwa na kashfa ya kusomba wanachama wake wa mikoa ya Morogoro,Dar na Pemba.Leo tena CUF imesomba wanachama wake kwaajili ya kushiriki na kutoa maoni hapa Arusha.Wanachama wa CUF wameshukia Annex Arusha by Night mkabala na uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Naomba kuwasilisha.

Hivi huu ujinga uko Tanzania?
 
kumbe CUF wana mawazo mgando kiasi hichi??
pia huo mchakato wa katiba hapa arusha umekaa kinafiki sana kwa sababu maoni yanachukuliwa maeneo machache mno kwa hapa arusha.
 
Wanachama wa CUF wameshukia Annex Arusha by Night mkabala na uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Naomba kuwasilisha.

Wewe nawe umezidi! Kwani kwenye kutoa maoni huwa watu wanakwenda na bendera na sare za vyama? Piga pichauweke wakati wakiwa wanatoa maoni ili uthibitishe. Sasa huo ujinga wa Seif uko wapi hapo au una bifu nae?
 
sisi tunataka wakivunja muungano wazanzibar wote laki 5 walioko bara inabidi warudi kwao zenji tuone kama watatosha kule hatutaki muungano wa aina nyingine yeyote ile zaidi ya huu uliopo sasa au ule wa serikali moja kama wanataka wa mkataba ambao ni kama ule wa EAC waende wakaungane hata na kenya au komoro au somalia lakini watu wao huku kwet wawe wameshaondoka mana hatuwataki warudi kwao zanzibar.
 
Wanajulikana kwa uvaaji wao na muonekano, wanaume wamevaa vipedo na kufuga midevu na wameshika bakora, uamsho hawajifichi bana.
 
Watanganyika tudai SERIKALI MOJA, NCHI MOJA. Zanzibar iwe Mkoa kama vile Tanga na Dr. Shein awe RC wa Zanzibar kama vile Chiku Galawa (RC wa Tanga)
 
una uhakika ni CUF kama una uhakika lete ushahidi wako
 
thread haina kichwa wala miguu. uhuni wa seif uko wapi? wana cuf wanaenda kutoa maoni arusha ili iweje? tuweke wazi! tuwe namada na mawzo endelevu. tuachane na siasa za maji taka.
 
Wanajulikana kwa uvaaji wao na muonekano, wanaume wamevaa vipedo na kufuga midevu na wameshika bakora, uamsho hawajifichi bana.
Ah, kumbe nyie ndio wale wazee wa udini. Nimeshakujua bwana endelea mtafanikiwa tu kwa mtindo huo!
 
Hii hatari kubwa.
Kwani sio Arusha tu.
Kuna ushahidi wa kimazingira maeneo mengi watu hupelekwa kutoa maoni wakati hata sio wakazi wa Wilaya au Mkoa husika. Huu udini unapaliliwa kwa ufadhili wa hali ya juu. Sijui hawa jamaa wanaojiita TISS walifariki lini na maziko yao yalifanyika wapi, angalau nikatembelee kaburi lao kujifariji.
Inasikitisha sana.
 
Watanganyika tudai SERIKALI MOJA, NCHI MOJA. Zanzibar iwe Mkoa kama vile Tanga na Dr. Shein awe RC wa Zanzibar kama vile Chiku Galawa (RC wa Tanga)
du mkifanya hivyo huoni kuwa mnajigeuza kama akina jussa. Sasa tuwaitaje jussa machogo au uamsho machogo?
 
wakuu leo ni zamu ya wakazi wa jiji la arusha kutoa maoni ya uundwaji wa katiba mpya.ni mategemeo yangu wanajf wengi wa jiji la arusha watashiriki kikamilifu.

Ikumbukwe cuf walifanya mkutano jijini arusha miezi kadhaa na kukumbwa na kashfa ya kusomba wanachama wake wa mikoa ya morogoro,dar na pemba.leo tena cuf imesomba wanachama wake kwaajili ya kushiriki na kutoa maoni hapa arusha.wanachama wa cuf wameshukia annex arusha by night mkabala na uwanja wa mpira wa sheikh amri abeid.

Naomba kuwasilisha.

we acha uzushi huo! Naona mumekazana sana kuizungumzia arusha yaani kuonyesha kama ndani ya tanzania kuna nchi nyengine inaitwa arusha. Ubinafsi na chuki tu ili muigawe nchi, lakini watoto wadogo tu kifikra, mumeikuta arusha na mutaicha kama ilivyo na katu hamtotugawa kimajimbo. Hamtofanikiwa milele! Tanzania itasonga tu, majungu si mtaji! Ilove tanzania!
 
sisi tunataka wakivunja muungano wazanzibar wote laki 5 walioko bara inabidi warudi kwao zenji tuone kama watatosha kule hatutaki muungano wa aina nyingine yeyote ile zaidi ya huu uliopo sasa au ule wa serikali moja kama wanataka wa mkataba ambao ni kama ule wa EAC waende wakaungane hata na kenya au komoro au somalia lakini watu wao huku kwet wawe wameshaondoka mana hatuwataki warudi kwao zanzibar.

Mbona hamjawarejesha wakenya,warundi,waganda kwao?au mna chuki tu zidi ya waz'br?
 
Wakuu leo ni zamu ya wakazi wa jiji la Arusha kutoa maoni ya uundwaji wa katiba mpya.Ni mategemeo yangu wanaJF wengi wa Jiji la Arusha watashiriki kikamilifu.

Ikumbukwe CUF walifanya mkutano jijini Arusha miezi kadhaa na kukumbwa na kashfa ya kusomba wanachama wake wa mikoa ya Morogoro,Dar na Pemba.Leo tena CUF imesomba wanachama wake kwaajili ya kushiriki na kutoa maoni hapa Arusha.Wanachama wa CUF wameshukia Annex Arusha by Night mkabala na uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.

Naomba kuwasilisha.

We wacha umbumbumbu! kwani Chadema inahaki miliki kwa Arusha! kuna wanachama wa CCM, CUF na vyama vingine hivyo hoja yako haina msingi wala haingii akilini!
 
Mlilete mada hapa ya wanachama wa cuf kwenda kwenye mkutano walioufanya arusha bila ya ushahidi na leo mnaleta viroba vyenu tena.hii inaonyesha wazi cuf inawapa tabu sana wanafiki wakubwa nyinyi na still mods wanaachi mada za uzushi na kukipaka matope chama cha cuf kwa makusudi kuachiwa huu ndani hujadiliwa bila ya ushahidi wowote.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole sana Ngongo yaani kwanini wasiwashushe hapo AM hotel au zile hotel mbili mwanzoni kule ukikata kona zilizopo karibu na AM.

Kumbuka kuwa Maalim Sio Muhuni kwani ana Mke wa halali kabisa Bi Awena. Muuni ni yule mwenye kupora watu wake zao kama alivyofanya Dr.
 
Back
Top Bottom