XP,As received:
MKUTANO WA HADHARA
MAALIM SEIF SHARIF KUNGURUMA LONDON
Jumuiya ya wazanzibari UK (ZAWA) inafuraha kuwaalika mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Katibu Mkuu CUF-Taifa Maalim SEIF SHARIFF HAMAD.
Wazanzibari wote, wake kwa waume, waliopo UK na nchi za jirani wanakaribishwa kuhudhuria. Huu ni mkutano wa kihistoria na wa kwanza kufanyika London baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya CUF na CCM Zanzibar.
Kwa vile London ina umuhimu mkubwa katika siasa za Zanzibar tunamshukuru Maalim Seif kututunukia ziara yake kama Wazanzibari wa mwanzo Ulimwenguni kuhutubiwa baada ya maridhiano kupitishwa.
SIKU NA PAHALA
Jumamosi ya tarehe 13/02/2010
Ukumbi wa Durning Hall
ADDRESS:
Earlham Grove,
Forest Gate
London,
E7 9AB ,
(Nyuma ya Mangala Solicitor.
Kwa maelekezo zaidi ya pahala piga simu No: 02085363800
UFIKAJI/USAFIRI
Bus: 25, 86, 58
Train. Forest Gate station (British rail)
WAKATI: Saa saba na nusu mchana (1.30PM)
WAHUSIKA: Kwa maelezo zaidi piga simu No:
07957654192, 07960355753,
07508016265, 0783180339
Taarifa niliyoletewa mimi mwisho wa tangazo limeandikwa neno:XP,
Wasio Wanzanzibari je hawastahili kuhudhuria?? labda niliweke swali vingine Mtanzania bara/Mtanganyika ana haki ya kuhudhuria??
Mufanye Murudi Nyumbani Muache kujiripuwa Kusema Nyinyi Ni Wasomali Wakati Nyinyi ni Wazanzibar Njooni Mujenge Nchi yetu jamaniAs received:
MKUTANO WA HADHARA
MAALIM SEIF SHARIF KUNGURUMA LONDON
Jumuiya ya wazanzibari UK (ZAWA) inafuraha kuwaalika mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Katibu Mkuu CUF-Taifa Maalim SEIF SHARIFF HAMAD.
Wazanzibari wote, wake kwa waume, waliopo UK na nchi za jirani wanakaribishwa kuhudhuria. Huu ni mkutano wa kihistoria na wa kwanza kufanyika London baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya CUF na CCM Zanzibar.
Kwa vile London ina umuhimu mkubwa katika siasa za Zanzibar tunamshukuru Maalim Seif kututunukia ziara yake kama Wazanzibari wa mwanzo Ulimwenguni kuhutubiwa baada ya maridhiano kupitishwa.
SIKU NA PAHALA
Jumamosi ya tarehe 13/02/2010
Ukumbi wa Durning Hall
ADDRESS:
Earlham Grove,
Forest Gate
London,
E7 9AB ,
(Nyuma ya Mangala Solicitor.
Kwa maelekezo zaidi ya pahala piga simu No: 02085363800
UFIKAJI/USAFIRI
Bus: 25, 86, 58
Train. Forest Gate station (British rail)
WAKATI: Saa saba na nusu mchana (1.30PM)
WAHUSIKA: Kwa maelezo zaidi piga simu No:
07957654192, 07960355753,
07508016265, 0783180339
Mufanye Murudi Nyumbani Muache kujiripuwa Kusema Nyinyi Ni Wasomali Wakati Nyinyi ni Wazanzibar Njooni Mujenge Nchi yetu jamani
Mkuu X-PASTER Kumbe Wewe Uko London?
Eeh! Mambo ya mkutano na Usomali wapi na wapi, alafu tena kujiripua...!? Daha! haya yetu macho!Mufanye Murudi Nyumbani Muache kujiripuwa Kusema Nyinyi Ni Wasomali Wakati Nyinyi ni Wazanzibar Njooni Mujenge Nchi yetu jamani
Mkuu X-PASTER Kumbe Wewe Uko London?
AgendaAtakuwa anazungumzia nini?? i mean agenda?
Taarifa niliyoletewa mimi mwisho wa tangazo limeandikwa neno:
..NYOTE MNAKARIBISHWA
Hii inaonyesha kuwa mkutano ni wa kila Mtanzania, ila msisitizo umewekwa kwa Wazanzibar kwa vile yale makubaliano yaliyofikiwa baina ya CUF na CCM kule Zanzibar, ni kwa Wazanzibar.
Ila kwa taarifa zaidi piga hizo namba simu hapo juu.
Thanks.
As received:
MKUTANO WA HADHARA
MAALIM SEIF SHARIF KUNGURUMA LONDON
Jumuiya ya wazanzibari UK (ZAWA) inafuraha kuwaalika mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Katibu Mkuu CUF-Taifa Maalim SEIF SHARIFF HAMAD.
Wazanzibari wote, wake kwa waume, waliopo UK na nchi za jirani wanakaribishwa kuhudhuria. Huu ni mkutano wa kihistoria na wa kwanza kufanyika London baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya CUF na CCM Zanzibar.
Kwa vile London ina umuhimu mkubwa katika siasa za Zanzibar tunamshukuru Maalim Seif kututunukia ziara yake kama Wazanzibari wa mwanzo Ulimwenguni kuhutubiwa baada ya maridhiano kupitishwa.
SIKU NA PAHALA
Jumamosi ya tarehe 13/02/2010
Ukumbi wa Durning Hall
ADDRESS:
Earlham Grove,
Forest Gate
London,
E7 9AB ,
(Nyuma ya Mangala Solicitor.
Kwa maelekezo zaidi ya pahala piga simu No: 02085363800
UFIKAJI/USAFIRI
Bus: 25, 86, 58
Train. Forest Gate station (British rail)
WAKATI: Saa saba na nusu mchana (1.30PM)
WAHUSIKA: Kwa maelezo zaidi piga simu No:
07957654192, 07960355753,
07508016265, 0783180339
Jumuiya ya wazanzibari UK (ZAWA) = CUF ???
Jumuiya ya Watanzania/Watanganyika UK (TA UK) = CCM???
Nauliza tu, maana naanza kupata hisia na mtazamo tofauti wa hizi Jumuiya ama ni wawakilishi wa vyama vya kisiasa ughaibuni?
Kumbe Wazanzibari sio Watanzania? au ndio kubagua wa kutoka Tanzania bara, je hao wazanzibari wanahold passport za Uraia gani?
Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ingekaa vizuri kidogo katika tangazo lenu