Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

Tanzania bila kukunjana mashati sioni namna nyingine ya kutufanya tuheshimiane
Hahahahahaaaaaa. Kwani yale waliyoongea hivi majuzi hayajaeleweka? Au kwa vile Dunia imewapuuza?
 
Haya ni matokeo ya ulevi wa madaraka au umasikini wa mtanzania
 
MAALIM TOA RUHUSA WANANCHI ZNZ TUCHUKUWE ZNZ YETU TUMECHOKA TUMECHOKA TUMECHOKA KUFANYWA WAJINGA.
 
Unafurahisha home boy toka lini Maalimu kawa shujaa,shujaa kwa jambo lipi au ndio mnampaka mafuta ya mgongo.Tena hilo jambo ingekuwa akalisemee kule mitaa ya Drive In Mikocheninyumaya makao makuu ya Zantel kwa wajomba zake
 
Hah hah mwaka huu Maalimu atatoa sana matamko,viyoyozi na ving'ora ndio kwishne tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…