Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

Ni vizuri humjui maana hujui na hutajua kwa sababu hutaki kujua. Mwenyekiti wa CCM anajulikana ni malaika na atamwachia malaika mwingine mwezi wa sita.

Hawa wenyeviti wa CCM wana kazi moja tu nayo ni kuizika CUF kwa nguvu za dola. Lakini wanasahau wanashindani na hiari ya mioyo ya wapiga kura. HAZIKWI MTU ANAYEPENDWA TOKA MIYONI. DOLA ZINAPALILIA KUATAMIA VYANGU VYAKO NA VYAKO VYAKO SI VYANGU
Mkuu hapa tunasaidiana. Naomba unisaidie nimfahamu Mwenyekiti wa CUF kwa sasa
 
Binafsi Napata shida kujuwa aina ya nyongo atatema maana kila upande wamezungukwa, kwangu kama mtanzania ni bora angeachana na siasa total maana hana pakupita huo ndio ukweli. Hakuna dunian double agent alie wahi kushinda vita ya moyo wake ni lazima afike mahali anyooshe mikono na kushindwa, siri ya zenj ni kubwa na kila anaye ijuwa mara nyingi harudi kusimulia ameona nini. MAALIM SEMA SIASA BASI MAANA TANGU UMEANZA KUULA MFUPA HUU MAGEGO YAONGEZEKA NA MFUPA HAUJA UVUNJA HATA KIPANDE...... MFUPA ULIO MSHINDA FISI WEWE HUUWEZI
uungwana wa Maalim seif ndio umekupa jeuri ya kuandika haya .
 
singo za maalim zimechuja kabla hata ya kutoka
 
utajua tu hiyo kesho ikifika , nchi ambayo matundu ya vyoo vya shule yanajengwa na wazungu , kupuuza hela za MCC ni kujitafutia matatizo makubwa sana .
Ila mavi ya kitanzania.



Acha wajenge
 
Mwambie akileta uchochezi Magufuli alishasema lazima atatandikwa tuu! Namshauri awe mpole!
 
Hahahahahaaaaaa. Kwani yale waliyoongea hivi majuzi hayajaeleweka? Au kwa vile Dunia imewapuuza?
Yale aliyoongea kama ulikuwa msalani basis nikujuze yameleta matunda na umeyaona MCC wamekata misaada. Utaishije we mbaombao
 
Mkuu hapa tunasaidiana. Naomba unisaidie nimfahamu Mwenyekiti wa CUF kwa sasa
JPM kesha amua masikini wote wanaotaka msaada waondolewe DSM. Namuunga mkono na miguu. Subiri kidogo atakufikia na kukuondoa. Nakushauri jisaidie kichwani hutahitaji msaada nje ya wewe binafsi. Kwani wewe mwenyekiti wa akili zako ni nani? Kama hakusaidii kamtafute mwenyekiti wa CCM akusaidie au wakusaidie wale jamaa wa Team 46 +1 wanaosaidiwa kufikiri na Nepi na Marope.
 
kesho sasa anakuja mzee mwenyewe Maalim Seif ambaye utafiti unaonyesha kwamba anakubalika kwa 95% na wazanzibar , usikose tukio hili la kihistoria tangu kuumbwa kwa nchi hii .
mpeni unabii !
 
Maalim ameshaelekea kibla, time will tell. Nafikiri Juma duni atakamata namba hiyo.
 
Mmmmh.......
95% ......!!!?????
Ndio maana huwa sichukulii 'SIRIAS' hii JF.
JF mnaleta ushabiki Na kuacha Facts
Naamini MTU akikubalika kwa 75% tu,hata kuibiwa haiwezekani kabisaaaa
 
Matamko kila siku ? Yeye si aliamua kususa, kujitangaza kinyume cha sheria , ssa matamko ya nn au ndo sizitaki mbichi hizi, au anataka kutujulisha kuwa familia yake imerudi kutoka Oman?
 
Koloni letu linatuletea matatizo makubwa soon! Tutakimbiana hapa hali ikibadilika na kuwa tete!
 
Back
Top Bottom