MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
Gazeti la Mtanzania katika kichwa cha habari lhabari limeandika kuwa Maalim Seif yuko mbioni kugombea nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo. Nafasi hiyo kwa sasa inashikwa na Zitto Kabwe.
Maalim Seif kugombea nafasi anayoshikiria Zitto Kabwe kunaonyesha uchaguzi utakuwa na ushindani mkubwa kama Zitto Kabwe ataamua pia kugombea nafasi hiyo.
Ieleweke kuwa mwaka huu chama cha ACT-Wazalendo kitafanya chaguzi zake kuu kwa mujibu wa katiba yake.
Mpaka sasa Zitto hajasema kama atagombea tena nafasi hiyo.
Je, kama Zitto ataamua kugombea, yaliyompata Fredrick Sumaye ndani ya CHADEMA yanaweza kumpata Maalim Seif?
Je, kuna makubaliano yamefikiwa kati ya Zitto Kabwe na Maalim Seif?
Je, Zitto yuko mbioni kuny’ang’anywa chama na kundi la wanachama kutoka Zanzibar?