koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,748
Kila tukiona au kusikia Maalim Seif amaekutana na viongozi zaidi ya mara nane ili kutatua mzozo wa kisiasa kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
Swali ninalojiuliza Seif nani anamshirikisha upande wake au anaenda kuongea peke yake bila kuwa na mtu wa karibu yake au kiongozi mwezie wa CUF!
Napenda kujuzwa ili kuondoa shaka kama anashiriki na wenzie au kazi kuwaletea taarifa tu viongozi wenzie alichongoea na upande wapili?
Mwenye kulifahamu hilo atusaidie.

Last edited by a moderator: