Maalim seif kuachia ngazi?

Maalim seif kuachia ngazi?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye serikali mara moja
 
akiachia si ule umoja wa kitaifa utavunjika????
 
angetakiwa awe ashaachia ngazi zamani sana...ila si una ona cku hizi anaanyoa hadi ndevu
 
Sasa anasubiri nini? Kwa serikali ya kikoloni kama ya CCM hata akiachia ngazi leo wala hawatashituka. Watakachofanya ni kuwateua mawaziri kutoka ndani ya CCM na kuendelea na maisha. Halafu Seif mwenyewe atarudi kuomba reconciliation. Maana akiandamana atakula mkong'oto akikaa kimya na wenyewe watanyamaza.
 
Mbavu sina.Saint Ivuga;2283750]angetakiwa awe ashaachia ngazi zamani sana...ila si una ona cku hizi anaanyoa hadi ndevu[/QUOTE]
 
Mroho wa madaraka hiyo ni ndoano kameza itabidi ajikaze kihivyo mpaka mungu atakapomtwaa,ccm kwa offside trick ni noma cuf waliingia muafaka kichwa2
 
Mmmmh!Serikali ya umoja wa kitaifa kwa maslahi ya watu wachache ishakuwa ya moto mara hii!!! kweli CCM noumerrr ...anyway Seif kisha poteza na Wanzanzibar ishakula kwao wangoje muujiza tu.
 
Nape bwana,amempa za uso maalim seif mpaka hr akashitaki kwa pinda
 
samahani mkuu, sisi tunabishana kule, eti wewe ndio maggid mjengwa?
Majid mjengwa hajafikia uwezo wa mwanakijiji.Haja maandiko yake mengi anatumia notisi za mkjj.Eg.Makala yake ya kambona.
 
Kwa nini atofautiane na serikali ya sisiem na wakati wanajiita ni serikali ya umoja wa kitaifa? wajanja tulishaona mapema,hamna kitu pale na kama wangelijua hilo mapema wasingekubali kirahisi vile!
 
unatuchanganya, mbona mahojiano yake itv na chanel 10 amesema z/bar ni safi anamshukuru Karume kwa kukwepa ccm bara na wakarekebisha muafaka pamoja..
 
Mtaka ynte kwa pupa hukosa yote,hatakama ataficha na kusema zanzibar ni shwari kiukweli jamaa hana maamuzi katika serikali.ishakula kwao wa zenji
 
Back
Top Bottom