Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Huu ni udaku tu. Peleka Kiu au Jamba leo
Acha unafiki wewe,nyie ndo wale mulokuja kuangusha vipeperushi eti waziri Mansour ajiuzulu,hahahahha yagujuuuu letu moja hapa zanzibarkuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye serikali mara moja
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye serikali mara moja