Huyo ndio basi tena , yeye na Zitto they are politically finished like Lipumba , nobody could listen to them again .
Sasa ACT mnaanza kunivuruga akili,mmekosa urais sasa hata umakamu muukatae?mlitaka seif afanye nn,mnaujua nyinyi umakamu!!!
Kuna kitabu kimoja cha masimulizi nilikisoma zaidi ya miaka 20 iliyopita, ndani yake kuna simulizi ya "Mdomo uliponza kichwa" Nikiitafakari simulizi hiyo moja kwa moja inanasibiana na Maisha ya huyo unaemuita jembe! Kiufupi ni kwamba awe jembe awe trekta "mdomo wake umeponza kichwa chake" hivyo amekosa credibility machoni pa Wazanzibar, ni mwongo wa kisiasa mnafiki kwa vitendo na pia ni mbabaishaji. Na ukifuatilia wengi wa wanaomuunga mkono ni wale wanaonasibiana nae kwa udugu wa damu au kwa Kisiwa alipozaliwa.
Kumbuka pia jembe haliwezi kufanya kazi bila kutiwa mpini!.
Siasa za kumfuata mtu nyuma karne hii sio za kujisifia hata kidogo, mtu mmoja au kikundi cha watu kinaweza kutumbukia shimoni na ninyi wengine wote mkatumbukia...
Kujua upande nitokako wala sio shani, huyo mzee ni mchonganishi na ndicho kilichomkosti hadi leo hii, Marehemu mzee Jumbe hadi amefika kufariki hakutoka nje ya Kigamboni sababu ni huyo, leo hii aaminike na Wazanzibari. Pole sana!!
Hao kina Mandela na wenzake hawakuwa na maamuzi ya kindezi kama ya hilo jembe lenu lisilo na mpini.Alipo wapo huo ndiyo ukweli mchungu. Kumbuka si kwa uzuri wa sura yake au huruma....
Siasa sio unafiki, wanasiasa wanaoongozwa na matumbo yao ndio wanaiharibu siasa, na mbaya zaidi wakiwa na wapiga debe wasiojitambua.Nchi hii inachekesha sana,waliokuwa wanamshangilia Maalim saizi wanamchukia na kumtolea maneno magumu magumu,wakati wale waliokuwa wanamtusi saizi ndiyo wanamsifu na kumshangilia....
Huko unakosema alipo wapo mimi ni mzawa, kilichopo naendelea kukushangaa wewe! Unaeongelea ambacho hukijui. Zanzibar serikali yoyote inaundwa na baraza la mapinduzi hivyo sahau![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hilo jembe lako katilishe mpini ukalimie mahindi.
Mkuu BAK heshima kwako. Kwa nini Seif aliamua kusitisha kukinukisha hadi mwisho?....
Bwana mdogo! Humu mimi siko upande wa Lumumba wala Ufipa!
Bahati nzuri huyo unaemuongelea namfahamu mpaka kwao Zanzibar, kisiwani Pemba, Wete, Mtambwe, Nyali. Sasa we endelea kuropoka tu!
Ni msaliti tu na mchumia tumbo huyo hana jipya. Yeye, Zitto na wengine wachache wameshikishwa mshiko mnene sasa wamekaa meza moja na dhalimu kwa uongo kwamba wanachama wao waliunga mkono maridhiano na wauaji. Kitu ambacho si cha kweli.