Kwakuwa wamemfukuza HR na wenzake nimeanza kuamini hakuna chama cha maana Tanzania; kulikuwa na haja gani ya kumfukuza busara gani ilishindikana kabisa kutumika..
Nilikuwa namuamini Seif lakini nimeanza kuweka alama ya kuuliza?? i am watching him closely
Huyu sijui anakuja bara kufanya nini? Hivi hao wakazi wa Manzese wamekosa Utaifa wao kiasi kwamba wanakwenda kumsikiliza mtu huyu ambaye kasahau kwamba CUF ni chama cha Watanzania na sio Wapemba au Wazanzibar...
Leo hii bara kuna population kubwa ya Wazanzibara kuliko idadi ya watu wote visiwani, badala ya chama kutazama maswala yake ya uwakilishi kwa mapana ya Kitaifa, wamekuja na utengano kufukiria mipaka ya nchi badala ya WATU na maslahi yao kuwa kigezo cha kulindwa. Na ikiwa malengo ya CUF ni Uhalali wa Zanzibar kama nchi anafuata nini bara?..maana kisha kigawa chama na kuwa chama cha Visiwani na kwa maslahi ya wanaoishi visiwani..
Naamini katika mkutano akina mama hawataruhusiwa kuchanganyika na kinababa.Pia baraghashia zitajaa mkutanoni
wakitoka ibada ya magharibi watakuja kujibu
mkubwa mtu ukiona anakuheshimu na wewe kuwa mvumilivu kwa kumjengea heshima. Kifupi sifurahishwi na jinsi unavyo ima kuchezea au kudharau imani yangu/yetu waislamu. Ukijiheshimu utaheshimiwa.
na hawa wanao wasikiliza viongoz wa chama hiki mmmh wakapimwe akili.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Argentina, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, pamoja mambo mengine, Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitetea uamuzi wa chama chake kuwatimua wanachama wake wanne, akiwamo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. (Picha na Mohammed Mambo).
Kumbwee Wa Tanganyika bado tunampenda kiongozi wetu shujaa Maalim Seif....anaetusaidia kulirudisha taifa letu la Tanganyika..angalia umati wa watu hao :A S 465:
wanachama wake wengi wamevaa nini kichwani?