MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa serikali ya Zanzibar ,Mh.Maalim Seif Hamad leo atakuwa akihutubia katika viwanja vya Bakhresa-Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana.viongozi wote wa kitaifa wa CUF watakuwepo isipokuwa Prof.Lipumba ambaye yuko Marekani kwa shughuli za uchumi wa kimataifa.Atazungumzia maamuzi yalichukuliwa na CUF pia kuzungumzia Umaskini unaikabili nchi Source.Mtanzania ya leo
Big cuf siku zote askari anapoasi vitani lazima auawe vitani.maalim anabusara sana
Nadhani angeanzia sera zake Wawiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..Hapo no comments
Yetu macho....
crap...hana cha maana atakachoongea
Hakiiiiiiii......Haki sawa kwa nani...........kwa wote (isipokuwa.....HR) asiposema haya CUF itakuwa imekufa.Sawa sawa?
Hakiiiiiiii......Haki sawa kwa nani...........(ispokuwa.....HR) asiposema haya CUF itakuwa imekufa.
Sielewi sura ya Seif itakuwaje atakapoambiwa kiti alichokalia ni baadhi ya fenicha zilizotolewa na HR,Kila la Heri na sarakasi zenu. Hope watu wa matawi ya Chechnia na Kosovo watahudhuria na kurudisha fenicha alizowanunulia HRM. Ila mwambie Maalim Seif asijidanganye na suala la urais wa Tanzania 2015 ataambulia aibu tu. Jussa naye atakuwepo kumuwakilisha RA?