Maalim Seif Atinga Washington DC na ujumbe wake

Nchi iliyopinduliwa haitakabidhiwa kwa kijikaratasi .
 
Nchi iliyopinduliwa haitakabidhiwa kwa kijikaratasi .
Lakini kiuhalisia asietaka kukabidhi madaraka hana credibility yoyote ya kuhodhi amani wala kuwaamulia wazanzibar yupi wa kuwatawala.
Shida inakuja pale Wazanzibar wenyewe wanapo baguana wao kwa wao...
 
Ulichoelezea ni sawa Ila napenda kuongeza kuwa asili ya watu wa Tumbatu wametokea sehemu za Mwanza walikuja kama wavuvi ndo wakasettle hapo kwa ajili ya shughuli zao za uvuvi.
 
Bara la Afrika kwa sehemu kubwa ni la waafrika weusi. Mwafrika provided yuko afrika hawezi kuwa mgeni kwa mwajemi aliyeko afrika.
 
Chuki na ubaguzi utawatesa sana wa zanzibar,wengi hawajielewi.Huwezi kuamia nchi na ukakaa kwa miaka zaidi ya mia moja vizazi vikachanganya damu na wenyeji alafu bado ukaona wewe ndio una haki ya ile sehemu kuliko wewe! This is realy sad.Na nahisi hata muungano ukivunjika hawa jamaa bado wataanzisha matatizo wao kwa wao.
 
'Mtumbatu na mmewe mwarabu wa yemen' nakukariri,kutokana na maelezo yako wewe sio native wa zanzibar bali natives ni watu wenye asili ya TUMBATU.Mwaarabu popote alipoyoka ni mwamiaji hawezi kuwa native na vizazi vya huyo myemen na mtumbatu hawawezi kuwa 'washirazi wa zanzibar' sababu washirazi asili yao sio yemen bali ni iran (persians) kama sikosei.
Post yako imejaa hisia za ubaguzi,kumwita mtu wa kuja sababu ana machale au sio mwislamu sio ustaarabu,nahisi hata wewe una mchanganyiko wa damu.Kumbuka nchi walipotoka hao wayemen au persiana na nchi nyingi za arabuni kuna watu bao sio waislam na wanakubalika kama ni sehemu ya nchi,lakini wewe unawatenga !ndio maana struggle yenu haiwezi kuzaa matunda mna mawazo njia panda.ulimwengu unabadilika lakini wewe hubadiliki,you have a lot to learn and a long way to go.
 
Pasco acha undumilakuwili. Unaposema Wamarekani mnawaamini ila siyo wale..... unakusudia nini? Hii inathibitisha tu unafiki ulionao kwa CUF. Acheni hizo bwana, acheni kuingiza mambo yasiyofaa kwenye politics.
 
peleka ujinga huko ! mbona hamuendi kudai Lamu na Bagamoyo !?
 

Mwarabu kwao arabuni Na wamatumbi kwao afrika
 

What a thinking....
 
Najua yamekuuma lakini huo ndio ukweli. Nilikuwa najibu hoja ya kuwa ASP ndio wazawa na walipokuja wa Oman nani walimkuta Zanzibar. Mimi najiringia na nakwenda kifua mbele Zanzibar kuwa mimi ni mzawa Mshirazi.

Mwislamu ana haki ya kuolewa na mtu yeyote ambae ni muislamu. Sikisema Washirazi kwao Yemen na haina maana ya Malkia kuwa na mume kutoka Yemen basi wafuasi wake wote watakuwa wayemen.

Nimemtafsiri nani mshirazi na hiyo ndio tafsiri yake.Nikikuuliza nani Mnyamwezi, ukaniambia mnyamwezi ni mtu aneishi Tabora, bara hana uhusiano na mndengereko wa Rufiji utakuwa mbaguzi.

Nimekueleza hali halisi ya Zanzibar " Islam is the most prominent religion on the island of Zanzibar. According to the CIA Factbook, more than 99% in the island are Muslim. The vast majority of Muslims in Zanzibar are Sunni Islam came to Zanzibar in the 8th century"

Waisalamu wazanzibar ni sunni na sio Shia kama Iran, sasa unapowapeleka washirazi kuwa asili yao persia hujui unakizungumza nini. Wazanzibari pamoja na Oman kuwepo kwa karne hawakuweza kubadilisha madhehebu yao na kufuata ya Oman yaani Ibadh.
 
Ndugu naona post yako IPO kibaguzi zaid in hiz element za kibaguzi ni hatar kwa taiga lolote lile, na hasa kama mwenye element za ubaguzi akiwa kiongozi
 
Mzanzibar mzawa ni yupi?halafu ndie awe mfadhili wa CUF?acha uongo,si useme tu CUF ni Oman hao ndio mfadhili wao.
 
Ndugu naona post yako IPO kibaguzi zaid in hiz element za kibaguzi ni hatar kwa taiga lolote lile, na hasa kama mwenye element za ubaguzi akiwa kiongozi
Pasco sie ndie mwenye element za kibaguzi bali wewe na jamaa zako wa Oman ndio wabaguzi ,ungetafakari kwanza lile bango la Kisonge ,halikubebwa na Pasco,bali lilibebwa na wana Zanzibari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…