Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, amesema anashangazwa sana Kinana akipita akijenga na kuziba ufa wakati nyumba zimeshaanguka ,mwambieni Kinana kuna mifiko ya saruji ameisahau kuondoka nayo.