Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa ndio mtaona CCM inakufa au inaimarika! Hapo ndipo mtajua delete CCM au delete opposition!
Mikutano ya Comrade Kinana imetajwa kuwa yenye mafanikio makubwa sana kwani watu wa kusini ni waelewa sana ingawa muda mwingine nyie UKAWA mnawatukana kwa misimamo Yao!
CUF kusini sahau kupata hata mtaa yangu macho Mbunge wa Lindi mjini kakalia kuti kavu kila mtu hadi mtoto aliyopo tumboni analijua Hilo na 2015 he must go!
Nyie shangilieni mitandaoni CCM ipo kikazi zaidi!
Nape umebdilisha Id tena Mkuu?.mbona mnapiga hadithi za sungura na fisi kuwa Kinana anahutubia mamia ya watu Mtwara wakati picha mnaogopa kutuletea.mbona mamia ya mamia ya upande wa pili tunaonyeshwa.picha pliiizi