mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katibu mkuu wa CUF Maalim seif sharifu hamad amemsifu na kumpongeza kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni freeman mbowe kutokana kuonesha ujasiri wa hali ya juu kupinga kile alichokiita udhalimu wa naibu spika. Amesema hoja iliyotolewa na wabunge wa upinzani ya kutaka taasisi za zanzibar zishirikishwe ilikuwa na mashiko. Amemtuhumu ndugai kwa kutumia ubabe wa kumtoa mbowe wakati anajuwa kiongozi huyo wa kambi ya upinzani bungeni ana haki sawa na waziri mkuu. Mkutano unaendelea, maelfu ya watu wamehudhuria.
Kawaumbua wale walioleta thread humu kwamba Seif hatambui muungano huo na Chadema.
Kawaumbua wale walioleta thread humu kwamba Seif hatambui muungano huo na Chadema.
Kuna siku mtu mmoja humu alileta thread akidai maalim seif apinga muungano wa upinzani, nikasema ile habari ni ya uongo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katibu mkuu wa CUF Maalim seif sharifu hamad amemsifu na kumpongeza kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni freeman mbowe kutokana kuonesha ujasiri wa hali ya juu kupinga kile alichokiita udhalimu wa naibu spika. Amesema hoja iliyotolewa na wabunge wa upinzani ya kutaka taasisi za zanzibar zishirikishwe ilikuwa na mashiko. Amemtuhumu ndugai kwa kutumia ubabe wa kumtoa mbowe wakati anajuwa kiongozi huyo wa kambi ya upinzani bungeni ana haki sawa na waziri mkuu. Mkutano unaendelea, maelfu ya watu wamehudhuria.
Katika hali isiyokuwa
ya kawaida, katibu mkuu wa CUF Maalim seif sharifu hamad amemsifu na
kumpongeza kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni freeman mbowe kutokana
kuonesha ujasiri wa hali ya juu kupinga kile alichokiita udhalimu wa
naibu spika. Amesema hoja iliyotolewa na wabunge wa upinzani ya kutaka
taasisi za zanzibar zishirikishwe ilikuwa na mashiko. Amemtuhumu ndugai
kwa kutumia ubabe wa kumtoa mbowe wakati anajuwa kiongozi huyo wa kambi
ya upinzani bungeni ana haki sawa na waziri mkuu. Mkutano unaendelea,
maelfu ya watu wamehudhuria.
LAzima ampongeze kwasababu ndio boss wao huko bungeni
wacha uongo wewe. mkutano gani amehutubia maalim seif kumsifu mbowe? haitakuja kutokea hata siku moja
mmh mwaka huu tutackia mengi!
Mkuu ni leo Kibanda Maiti!!utaumbuka ww gamba!