Maalim Seif akikubali Umakamu wa Rais atakuwa ametusaliti

Wakuu kwa mujib wa katiba ya Zanzibar mshindi wa pili aanateuliwa kuwa makamo wa kwanza au inasemaje? Tusaidiane wanasheria
 
mshindi wa pili atakuwa vice ikiwa amefikisha 10% kitu ambacho hakuna aliyefikisha.

Utaratibu wa zamani wa Waziri kiongozi ndio utatumika
 
Hizo Kura Azitoe Wapi!!!? Hata Maalim Seif Ambaye Amegoma Kushiriki Hajamfikia!! Ameambulia Kura Elfu 3 Na Ushee, 3% Tu Na Maalim Seif 6%!!! Sasa Ngoma Ktk Hiyo Serikali Yao Ya Umoja Wa Kitaifa Itatoka Wapi Hapo!!! Shein Amepewa 91%!!! Hamad Rashid Sasa Ngebe Zake Kwishineiiii!!
 
labda wabadilishe katibaaaaa!!!!! ili wahalalishe ukurunzinza wao!!!
 
Wazanzibari tushikamane tuhubiri Amani karibuni sana hapa NUNGWI kwa MUITALIANO tusherehekee USHINDI wa kishindo wa Rais wetu mteule Dkt. Shein (PhD)
 
Hizo Kura Azitoe Wapi!!!? Hata Maalim Seif Ambaye Amegoma Kushiriki Hajamfikia!! Ameambulia Kura Elfu 3 Na Ushee, 3% Tu Na Maalim Seif 6%!!! Sasa Ngoma Ktk Hiyo Serikali Yao Ya Umoja Wa Kitaifa Itatoka Wapi Hapo!!! Shein Amepewa 91%!!! Hamad Rashid Sasa Ngebe Zake Kwishineiiii!!
hahahaaa......hizi lugha inabidi nicheke. yaana Hamadi Rashid kwishne.......
 
Kuna sheria au katiba inayofuatwa huko, huko ni unkurunzinza tu
Naogopa sana ku comment kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, kwa sababu umepoteza credibility. Jecha alitangaza marudio ya uchaguzi ilhali mazungumzo kati ya Shein na Malim Seif. Sasa kama si uendawaimu ni kitu gani hicho? Kama walijua watarudi uchaguzi, mazungumzo ya mwafaka waliandaa ya nini?
 
Azitoe Wapi!!!?? Hiyo 3% Aliyopewa Itamsaidia Nini!!!!?? Alikuwa Anajigamba Bure, Sasa Na Chama Chenyewe Ndio Kwishineii!!!

Anaweza kupewa umakamu wa rais maana sioni kama katiba inafuatwa kwa kiwango hicho. Zitakuja blabla sijui busara imebidi itumike nk. Watawala katika nchi za kiafrika ni nadra sana kufuata katiba wangalau kwa 70%
 
wasalaam
Wakati ccm ikienda na kioja cha uhesabuji wa kura angali wanajua mshindi ni nan! hiki ni kichekesho chenye uchungu.
Natumia fursa hii kumkumbusha Seif Sharif Hamad asisahau machungu tunayopitia kwa kukubali nafasi ya umakamu wa uraisi Atakuwa ametusaliti sana.
Mwanasiasa mwenye "makeke" hukibomoa chama chake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Naogopa sana ku comment kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, kwa sababu umepoteza credibility. Jecha alitangaza marudio ya uchaguzi ilhali mazungumzo kati ya Shein na Malim Seif. Sasa kama si uendawaimu ni kitu gani hicho? Kama walijua watarudi uchaguzi, mazungumzo ya mwafaka waliandaa ya nini?
Naona kama unaturudisha nyuma
 
Hamad Rashid hawezi kuwa Makamu wa rais Kisheria labda wafanye mazungumzo tu. Pili hata idadi ya kura alizopata ni kidogo sana, anawakilisha kundi dogo sana
 
Back
Top Bottom