gungu yetu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 176
- 60
Nini maana ya democrasia...??
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.
Mlizoea kumwibia "ushindi" wake sasa ameamua kuwa ngangari.Maalim atakuwa bogus,
Hadi sasa ana kesi ya kujibu kwa Taifa la Zanzibar, kwa level yake hakupaswa kuachwa akijitangazia matokeo, alikuwa anajua hatma yake na kwanini alifanya jambo ambalo litahatarisha usalama wa Taifa! Anawezaje kukaidi mamlaka ya tume? Uhuru wa tume unajengwaje ikiwa wewe unaitangulia kutangaza matokeo yako?
Kesi ya maalim seif ni ya kihaini kwa kuwa ameingilia mamlaka ya juu kabisa katika uchaguzi na anajua kwa kufanya hivyo anahatarisha usalama wa nchi!
Naona umeamua kuijaza akili yako hengo moja, je leo Hashim Rungwe akitangazwa rais kwa namna yoyote ile utakubali?
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana
3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.
4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti
5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati
Lowassa kashindwa kihalali
ndio wamesha futa ss yy anatakaje
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana
3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.
4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti
5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati
Yani wewe unaona sawa mtu mmoja kwenda kujiamulia kufuta uchaguzi wa nchi nzima? Walau basi angeitisha kikao cha tume ili waamue pamoja. Bado kungekua na malalamishi lakini angalau kungekua na uhalali.
Kulikuwa hakuna haja ya kufanya uchaguzi kama mkishindwa hamkubali
tunarudia kupiga kura fullstop!
we ni mwehu kama walivyo wehu wengine
Ndio maana tunasema bora mrudishe utawala wa chama kimoja tuachane na hizi chaguzi za hadaa. Yani mkishindwa mnaforce kufuta matokeo na kurudia? Na hata baada ya kurudia bado mtashindwa na tunajua madaraka hamtaachia. Mtakachofanya ni kurekebisha maeneo ambayo hamkuchakachua vizuri
hatupo huko! seif alijitangaza mwenyewe na akatoa na takwimu nyingine kipotoshaji ambayo ilikuwa ni kazi ya ZEC kumtangaza ama kutangaza matokeo, kwanza anatakiwa ashtakiwe kwa udhalimu alio ufanya
we ni mwehu kama walivyo wehu wengine
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.
Katika Majimbo 31 ambayo Tume walishayatangaza yalikuwa sawa sawa na matokeo aliyojitangazia Maalim!hatupo huko! seif alijitangaza mwenyewe na akatoa na takwimu nyingine kipotoshaji ambayo ilikuwa ni kazi ya ZEC kumtangaza ama kutangaza matokeo, kwanza anatakiwa ashtakiwe kwa udhalimu alio ufanya
Katika Majimbo 31 ambayo Tume walishayatangaza yalikuwa sawa sawa na matokeo aliyojitangazia Maalim!
Yalikuwa yamebaki Majimbo 23 kati ya hayo 18 ni ya Pemba ambayo yote wameshinda CUF na kati ya 5 ya Unguja 1 ni na CUF.