Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

unaporidhika haki iendelee kunajisiwa na mafisadi..
huna maana hata mbele ya Mungu.
 
Pohamba hakuna refu lisilo na mwisho, hao uliowataja wooote wataiacha dunia na wataicha znz ikiwa hai kabisa, ni kibri chakujisaidia huku umekaa ndio kinachotumbua sisi binadamu wengi. Hakuna haja yakutishana. Kinachotakiwa na haki itendeke bila upendeleo.
Dunia hii Mungu aliijaza watu na akajisifu yeye mwenyewe kuwa hakuwahi kuwaumba watu mfano wa hao katika miji. Walikuwa na uwezo wa kwenda kuuchana mlima kilimanjaro na pakatoka pango ikawa ndo kindana cha mtu. leo sisi tunaotishana hatuwezi kumudu hata kuvunja hata 'chenenenga' kwa mikono yetu. Muda ukiwadia hakuna atakae baki, wakujisaidia huku makaa wala wakuchutama.
 
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.

Zuzu ni wewe usiejielewa kwa kuwa tu unanufaika na hayo yanayotokea na hususani kwa kuwa hapo ulipo unaujauzito uliotokana na hizi kampeni hivyo unalinda utunzwaji wa hicho ulichokibeba tumboni mwako.
 
Kwani January Makamba ndio Magufuli? Kauli kama hiyo inaathari kubwa ikitolewa na mgombea mwenyewe sio mpambe wake!

Kwa hiyo Fahmi Dovutwa akijitangaza mshindi wa urais JMT uchaguzi unafutwa mara moja?
 
Maalim Seif hongera sana kwa ushindi, naamini baada ya majadiliano tume itakutangaza mshindi, mshindani wako si vibaya akiwa makamu wako wa kwanza, amani itawale
 
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa @porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.

Ukitoa p inabaki orojo.
 
Kwa hiyo Fahmi Dovutwa akijitangaza mshindi wa urais JMT uchaguzi unafutwa mara moja?

Naona umeamua kuijaza akili yako hengo moja, je leo Hashim Rungwe akitangazwa rais kwa namna yoyote ile utakubali?
 
Back
Top Bottom