Maalim Seif Aitisha Mgomo Baridi Unguja

Maalim Seif Aitisha Mgomo Baridi Unguja

Huyu mzee ana lake analolitafuta na atalipata tu wewe muache amesahau kuwa kila mchuma janga huangaika na nnduguze, arudishe kwanza familia yake iliyopo arabuni halafu ndio aendelee choko choko zake.
Uoga wako ndio upuuzi na umasikini wako
 
Bora ufilisike mali sio siasa.Kwahio yeye yupo connected kutoka kwa wahisani.yaani anaendeshwa na mtaji wa wahisani,mi nilijua ni utashi wake ndio uliomtuma.Yeye mwenyewe kung'ang'ania Ukatibu wa chama anataka afie kwenye kiti au wana CUF wengine ni vilaza??? au??.mwenzie lipumba aliachia akili mpya itawale yeye anasubiri nini???????
 
Maisha Unguja yanenda kama kawaida, hiyo matamko yao kila siku hayawazuwii watu kufanya kazi zao...Na wasije wakafanya upuuzi wao huo unguja wanajua nini kitafuata

Kizibao;
Ya kweli hayo lakini??? Tungetamani kusikia na upande ule wa pili kwani hakuna mtawala awezaye kuamini kuwa ameshapoteza hadi aone kivuli cha mpinzani mlangoni yakhee
 
Kitendo cha Shein kuweka pamba masikioni kinazidi kumweka Seif kwenye hali mbaya kisiasa.Watu hawakutegemea kuwa angeweza kuunda serikali peke yake bila kuishirikisha CUF na anajitahidi kutekeleza yale ambayo CUF waliahidi kuyafanya
 
Huyu mzee ana lake analolitafuta na atalipata tu wewe muache amesahau kuwa kila mchuma janga huangaika na nnduguze, arudishe kwanza familia yake iliyopo arabuni halafu ndio aendelee choko choko zake.
Hizo kura alijipigia mwenyewe?
 
Kitendo cha Shein kuweka pamba masikioni kinazidi kumweka Seif kwenye hali mbaya kisiasa.Watu hawakutegemea kuwa angeweza kuunda serikali peke yake bila kuishirikisha CUF na anajitahidi kutekeleza yale ambayo CUF waliahidi kuyafanya
hivi unajua kuwa wafanyakazi wa SMZ zaidi ya nusu hawajapokea mishahara bado?
hivi unatambua mshahara wa mwezi uliopita SMZ wamekopa kutoka kwa matajiri?
Hivi unajua kinachowasumbua SMZ hadi sasa kuendesha serikali?
Nenda zanzibar angalu wiki iyajue sio ukae nyuma ya keyboard huku unabahatisha.
nenda ukaona kwanini Shein yupo kimya
 
Awamu iliyopita walimlea sana uyu jamaa.Hivi yey maalim ana tofauti gani na ccm kwa kutotaka kuachia madaraka?
Kwa nin yey asiachie ukatibu mkuu?Mimi naona bora Shein amalize muda wake ampishe Ally Karume uyu ndio anafaa kwa watu dizain ya maalim,shein ni mpole sana
 
Sijui kwa sasa Mzee Kingunge anaweza sema tena "maneno hayo akawaambie wajinga wa huko Pemba"
 
hivi unajua kuwa wafanyakazi wa SMZ zaidi ya nusu hawajapokea mishahara bado?
hivi unatambua mshahara wa mwezi uliopita SMZ wamekopa kutoka kwa matajiri?
Hivi unajua kinachowasumbua SMZ hadi sasa kuendesha serikali?
Nenda zanzibar angalu wiki iyajue sio ukae nyuma ya keyboard huku unabahatisha.
nenda ukaona kwanini Shein yupo kimya
Hizi ni habari mpya kwangu ,Nilikuwa Zanzibar February/March kabla ya uchaguzi kulikuwa shwari still sioni dalili zkama Shein anaweza ku-surrender
 
Hizi ni habari mpya kwangu ,Nilikuwa Zanzibar February/March kabla ya uchaguzi kulikuwa shwari still sioni dalili zkama Shein anaweza ku-surrender
inawezekana ikawa hivyo ila still CCM ndio kabisa watahairisha uchaguzi 2020 maana cuf watashinda zaidi 65% kuliko walivyoshinda mwaka jana
 
inawezekana ikawa hivyo ila still CCM ndio kabisa watahairisha uchaguzi 2020 maana cuf watashinda zaidi 65% kuliko walivyoshinda mwaka jana
CUF hawajaanza kushinda 2015,unafikiri hata wakishinda 2020 watapewa nchi ? CUF walipaswa waanze kuandaa mrithi wa Maalim Seif,sioni CUF ikifurukuta bila Seif huko Zanzibar
Afrika demokrasia ni hadithi juzi Museven anasema hakuna nchi yenye demokrasia kuliko Uganda
 
Back
Top Bottom