Maalim Seif Aitisha Mgomo Baridi Unguja

Maalim Seif Aitisha Mgomo Baridi Unguja

Narudia tena huyu mzee karibu ataukopa makopo...mtu na akili zako timamu unaongea maneno ya kibwege..Kwani wapemba wakifunga maduka pale Unguja nani ataathirika kwani hajui kila bidhaa ina tarehe ya mwisho wa matumizi? Amewafilisi vichwa/siasa wapemba sasa anataka kuwafilisi mifukoni..by the way sio maduka au huduma zote zinatolewa na wapemba..Dawa ni kuwafutia leseni tu
 
Maalim Seif ni shujaa ! Mtu uko buguruni unajifanya uko unguja , unataka kumdanganya nani ?

Kwani kunaendelea nini Unguja? Mbona jana tulitia nanga hapo pako shwari watu wapo busy kununua tambi za futari...
 
WAANGALIZI WA UCHAGAUZI HAWAJAKUBALIANA NA UCHAGUZI, ZEC NA NEC ZALAUMIWA,
​
 
Back
Top Bottom