mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Nimejaribu kuwaza kwa nini wapinzani safari hii wasimsimamishe mzanzibari ili kudumisha muungano na kuwajibu mahasimu wao hoja kuwa wapinzani hawapendi muungano. Mtu wa pili mwenye ushawishi kwenye upinzani ukimuacha lws ambaye kwa sasa amechoka ninamuona ni maalim seif, pia anauzoefu wa miaka za
Wanaukawa hii fursa mnaionaje.
Wanaukawa hii fursa mnaionaje.