GE2025 Maalim kaondoka na ACT WAZALENDO YAKE

GE2025 Maalim kaondoka na ACT WAZALENDO YAKE

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wana uhakika ku form coalition, ukiwatoa nje ya mfumo wanachangamka
 
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.

90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim
Katika enzi za Maalim, wakati wa kumpokea Unguja nzima inasimama.

Magari kutoka chwaka, Uroa, Bweju ; Jambiani yamesheheni barabani
Nungwi, matemwe, Pwani mchangani bara bara zote Zipo Tupo tulips.

Wauza maduka wa darajani na mchangani yote yanafungwa.
Leo mambo ziii. Malindi kila mmoja anashughuli zake.
Hivi ACT wataenda kuchukua fomu lini?
 
Back
Top Bottom