GE2025 Maalim kaondoka na ACT WAZALENDO YAKE

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,547
Reaction score
12,800
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.

90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim
Katika enzi za Maalim, wakati wa kumpokea Unguja nzima inasimama.

Magari kutoka chwaka, Uroa, Bweju ; Jambiani yamesheheni barabani
Nungwi, matemwe, Pwani mchangani bara bara zote Zipo Tupo tulips.

Wauza maduka wa darajani na mchangani yote yanafungwa.
Leo mambo ziii. Malindi kila mmoja anashughuli zake.
 
Anna Ngwila na Bernard Membe wameondoka pia kupitia ACT wazalendo. Mpina sijui anafikiria nini?
 
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa hata. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda
Baada ya kifo cha Seif Zanzibar hakuna tena upinzani. Hii ni kwa sababu upinzani Zenji mizizi yake ilikuwa imejikita kwenye Seif kupata urais na siyo utofauti wa itikadi per se. Na pia kosa kubwa alilofanya ni kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu ukabaki kuwa mpinzani. Plus ATC ni chama cha mchongo, kilichoanzishwa na Zitto na swahiba yake Kikwete kwa malengo maalum. Wapinzani Zenji sasa hivi wapishapewa ving'ora na ubunge imetoka.....
 
Labda wastuke waanzishe chama kingine,ila kwa znz washaingizwa chaka na Tapeli mzito kabwe.
Pia huyo Othman mgombea wao yupoyupo tu Bora hata ingekua jusa
 
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar
Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za maalim
Huna unalujua kuhusu siasa ya Zanzibar pole sana
 
Kuna watu niliwambia wakanibishia. Kwa Sasa hata huko Pemba watapigwa Chini. Zanzibar wanahitaji chama aggressive kama CHADEMA
 
Mbowe pia kaondoka na Chadema yake
Salum mwalim vs Samia urais.
Baada ya kifo cha Seif Zanzibar hakuna tena upinzani. Hii ni kwa sababu upinzani Zenji mizizi yake ilikuwa imejikita kwenye Seif kupata urais na siyo utofauti wa itikadi per se. Na pia kosa kubwa alilofanya ni kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu ukabaki kuwa mpinzani. Plus ATC ni chama cha mchongo, kilichoanzishwa na Zitto na swahiba yake Kikwete kwa malengo maalum. Wapinzani Zenji sasa hivi wapishapewa ving'ora na ubunge imetoka.....
Sio kweli. Ukweli kwamba
Huna unalujua kuhusu siasa ya Zanzibar pole sana
Tupe wewe. Leo Wauza vitambaa na maduka darajani wamefunga kwenda kumpokea Mpina? Enzi za maalim unguja nzima kuanzia Jangombe, Mwembe makumbi, Makunduchi hivi sasa gari zikipishana. Jee leo ni hali ile ile?
 
Inasikitisha sana, ulioyaongoea yana ukweli, Ila suala la mwinyi kushinda haliwezekani. CCM njia pekee ya kushinda Zanzibar ni kupora tu.
 
Nimeona Mkutano wao pale Unguja hamna kitu ACT. Kwa mara ya Kwanza CCM watashinda.
 
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.

90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim
Katika enzi za Maalim, wakati wa kumpokea Unguja nzima inasimama.

Magari kutoka chwaka, Uroa, Bweju ; Jambiani yamesheheni barabani
Nungwi, matemwe, Pwani mchangani bara bara zote Zipo Tupo tulips.

Wauza maduka wa darajani na mchangani yote yanafungwa.
Leo mambo ziii. Malindi kila mmoja anashughuli zake.

Hizo ndizo dalili zenyewe za No Reforms No Election. Wananchi wameielewa Chadema. Maza bado anajifanya ni Chura Kiziwi. October CCM watapiga kura peke yao kama walivyofajya kwenye kura za maoni.
 
Hozo ndizo dalili zenyewe za No Reforms No Election. Wananchi wameielewa Chadema. Maza bado anajifanya ni Chura Kiziwi. October CCM watapiga kura peke yao kama walivyofajya kwenye kura za maoni.
Tusiandikie mate wakati wino upo
 
Back
Top Bottom