Hehehe mtaitwa wasaritinakuunga mkono kamanda. ulipo tupooo. na sio hilo tu. tunawataka pia mafisadi waliohamia ukawa waondoke haraka. na wale wote waliouza uhuru wao kwa kitu pesa basi wajipime waone kama wanafaa kuendelea kuwepo kwwnye vyama hivi
Kwani bado yupo hotelini kwa account ya SMZ?Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.
Kanuni ya kwanza ya mwanamapinduzi yoyote ni unyenyekevu na utu.
Kuishi kwa starehe ni kinyume cha imani za wanamapinduzi wote ulimwenguni.
Hakuna popote katika historia ya dunia mwanamapinduzi kufuja rasilimali.
Wote kuanzia Fidel Castro, Che Guevara, na wengineo walijitenga na anasa.
Sidhani kama ilikua sahihi kwake kuishi hotelini.
Je. hakuna nyumba za serikali?
Hakuona umuhimu wa kusave fedha ili ziboreshe huduma kwa wapiga kura wake.
Amenifisha moyo sana...
Ametoa somo baya kwa wanasiasa wa vizazi vijavyo...
Kwamba ni sawa tu kutumia fedha za serikali hovyo maana hazina mwenyewe.
Maalim you owe us an explanation and an apology.
Hivi wale ambao walikuwa na uhakika wa kushinda Uwakilishi kule Pemba, sasa hivi wana hali gani kama si chuki kwa Maalim?Maalim kawaingiza mikenge wazanzibar ila kwa vile hawaoni na hawasikii waache wakae huko huko mikengeni..Shein piga kazi mweee!! ngenge nini?
Aliyeuza nyumba za serikali mko nae ukawa ni mh. Sumaye ndiyo alikuwa waziri mkuuKabla hujamlaumu kwa kukaa hotelin mlaumu yule aliyeuza nyumba za uma koz xabab kubwa n yy kutopewa nyumba huku bara kama sheria inavotaka
Aliyeuza si waziri Mkuu bali aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kwa maelekezo ya aliyekuwa rais wa wakati ule ambaye kwa sasa ndiye mshauri wake Mkuu wa mambo ya kisiasa!!Aliyeuza nyumba za serikali mko nae ukawa ni mh. Sumaye ndiyo alikuwa waziri mkuu
Haya wewe mwenye akili zako uko wapi? Unasubiri UpawaMa-ccm yana shida kweli kweli, mwenye akili zake timamu hawezi kuwa sisiiem hata iweje!
Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.
Kanuni ya kwanza ya mwanamapinduzi yoyote ni unyenyekevu na utu.
Kuishi kwa starehe ni kinyume cha imani za wanamapinduzi wote ulimwenguni.
Hakuna popote katika historia ya dunia mwanamapinduzi kufuja rasilimali.
Wote kuanzia Fidel Castro, Che Guevara, na wengineo walijitenga na anasa.
Sidhani kama ilikua sahihi kwake kuishi hotelini.
Je. hakuna nyumba za serikali?
Hakuona umuhimu wa kusave fedha ili ziboreshe huduma kwa wapiga kura wake.
Amenifisha moyo sana...
Ametoa somo baya kwa wanasiasa wa vizazi vijavyo...
Kwamba ni sawa tu kutumia fedha za serikali hovyo maana hazina mwenyewe.
Maalim you owe us an explanation and an apology.
hiyo ilikua defensive mechanism ya kitoto sana; kwa maana alijua kua tayari kakosea sasa anaisingizia ccm, ukweli lazima uzungumzwe wether mtaita propaganda au la..Propaganda hii na nyingine zote zinazoandaliwa Lumumba zenye lengo la kumfitinisha Mh.Maalim Seif na wapigakura wake waliomuamini na kumchagua kwa kishindo 25 Octoba 2015,zilishatabiliwa na kutolewa maangalizo hapa jukwaani na "GT" Kibo 10.
Unachojaribu kukijenga hapa ni propaganda mfu ambayo wenye akili walishatoa tahadhari,bandiko lako linapaswa kupuuzwa kama unavyopuuzwa wewe.
Tuambie ni shilingi ngapi toka serikalini na ziliidhinishwa toka kasma ipi ili zilipie gharama za Maalim Seif Hotelini?
Msome "GT" Kibo 10 alishauchungulia uzushi wenu kitambo na akatoa angalizo katika bandiko hili:
CUF na Maalim Seif Wajiandae na Propaganda ya Kula Mabilioni Kunyamazishwa
Tafuta uzushi mwingine,huu ulishabuma kabla ya kuletwa jukwaani.
Maalim kawaingiza mikenge wazanzibar ila kwa vile hawaoni na hawasikii waache wakae huko huko mikengeni..Shein piga kazi mweee!! ngenge nini?
Huu wa Kibo10 haukuwa utabiri, ni unafiki sababu ubadhrifu wa Maalimu ulishaanza kujadiliwa Mara baada ya kuchukua M350 kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa India. ile ilikuwa ni pesa ya kunyamazishwa ili uchaguzi Wa marudio upite iliandikwa na magazeti watu wakaponda. Amerejea kafikia hotelini kwa wiki mbili yeye na wasaidizi sits madereva watano, kwa wiki mbili wametumia M100 imelalamikiwa na vyombo vya habari tens vikiripoti hatua ya Maalim kuzikataa nyumba alizotafutiwa Unguja na Dar kwa kisingizio hazina USIRI wakina Kibo10 wakadai hiyo no stahiki take kama Makamu Wa Rais. Leo mnakuja na Ngonjera nyingine hazisaidii Seif kawasaliti wenziwe. WASAIDIZI wake aliokuwa anatumbua nao Serena sio wengine ni akina Jussa nao wamewwka silaha kwapani huwasikii kelele zao. kazi hiyo wakaachiwa akina Mansoor matokeo take tumeona na sasa amebaki Sakaya M pekee Yale anakipigania chama.Propaganda hii na nyingine zote zinazoandaliwa Lumumba zenye lengo la kumfitinisha Mh.Maalim Seif na wapigakura wake waliomuamini na kumchagua kwa kishindo 25 Octoba 2015,zilishatabiliwa na kutolewa maangalizo hapa jukwaani na "GT" Kibo 10.
Unachojaribu kukijenga hapa ni propaganda mfu ambayo wenye akili walishatoa tahadhari,bandiko lako linapaswa kupuuzwa kama unavyopuuzwa wewe.
Tuambie ni shilingi ngapi toka serikalini na ziliidhinishwa toka kasma ipi ili zilipie gharama za Maalim Seif Hotelini?
Msome "GT" Kibo 10 alishauchungulia uzushi wenu kitambo na akatoa angalizo katika bandiko hili:
CUF na Maalim Seif Wajiandae na Propaganda ya Kula Mabilioni Kunyamazishwa
Tafuta uzushi mwingine,huu ulishabuma kabla ya kuletwa jukwaani.
Waziri ni mtekelezaji wa maazimio ya maamuzi ya baraza la mawaziri ambalo kiongozi wake ndio Waziri Mkuu na kuidhishwa na Bunge Tuusiwe Vipofu Wa kujua kanuni sababu ya mahaba ya kisiasa. Hii ni sawa na uadui Wa wafanyabiashara na TRA wakidhani ndio i nayowakandamiza hali kuwa TRA n wasimamizi na Sheria iliyotungwa na Bunge kuhakikisha inatekelezwaAliyeuza si waziri Mkuu bali aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kwa maelekezo ya aliyekuwa rais wa wakati ule ambaye kwa sasa ndiye mshauri wake Mkuu wa mambo ya kisiasa!!
Kuhusu nyumba za Serikali kama zipo hebu muulize Rais Magufuli.Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.