singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Mi nashangaa kwanini afya ya Seif Sharifu inafanywa kuwa siri, SMZ na Cuf tuwekeni wazi katika hili tafadhali
Ugonjwa ni siri kati ya Daktari na Mgonjwa wake. Hata inapobidi kuueleza kwa jamii ni Mwenye kuumwa mwenyewe anapotaka iwe hivyo.Ukawa watakuja kulielezea hili