Maajabu ya yai

BlackBox

Senior Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
108
Reaction score
78
Jamani leo nimeona maajabu wakati nimepasua yai LA kuku nimelipata na viini viwili, muonekano wa yai lenyewe lilionekana kubwa kuliko kawaida, nimeshindwa kula maana tokea nimezaliwa sijawahi kuona kitu kama hicho. Kama umeshawai kuona njoo utujuze nasisi hapa tupate kuelewa.
 
Kama umeshindwa kula umelipeleka wapi?
 
Weka picha halafu mbona ishu za kawaida tu hizo mkuu
 
Mbona inshu ya kawaida hiyo we dogo.
 
Wewe unaonekana hata mabinti ndugu mapacha wakikupenda wote wawili wakati wewe unamtaka mmoja utawaacha wote wakati hiyo ni bahati kubwa sana ya kuwala wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…