Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,260
Kwangu mimi ni maajabu au ulitaka niandike stori za kufikirika aiendelei na nimefika mwishoHayo ndio maajabu ya Lushoto? Au simulizi litaendelea?
Unajua hata mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuwa kuchafu, kulivyo disorganize kwake ni maajabuSawasawa mkuu..
Maajabu hayo..
Kumbe ni maajabu yako? Nimekuelewa. Nikajua ni maajabu kwa maana inayojulikana.Kwangu mimi ni maajabu au ulitaka niandike stori za kufikirika aiendelei na nimefika mwisho
... eti "maajabu". Teh!Neno 'maajabu' limebadilishwa maana?
Kule kuna mawe mawe mengi ukiwa unapandisha ile Barabara inayotoka Mombo sijui Rombo unapandisha kule juu ndio utaelewaKwangu mimi ni maajabu au ulitaka niandike stori za kufikirika aiendelei na nimefika mwisho
Nilivyokua mdogo kuna rafiki yangu alikuja napoishi palikuwa ni uswahilin tuakenda dukani kwake yeye aliona maajabu kuona watu wananunua mafuta ya mia tatu au mia... eti "maajabu". Teh!
Sio KWELINijuavyo Watu wa ukanda huo kama sio mchawi,ni mganga wa kienyeji ama watoo's je hapo nipo sawa ama mastori ya kusadikika tu๐คธ๐คธ๐คธ๐๐๐๐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maajabu ni sisi kushangaa kutoyaona hayo maajabu kwenye uzi huu wa kimaajab.
Asante. Umenifahamisha kitu ambacho nilikuwa sikujui. Kweli Tanzania ni kubwa na ina mengi.Kwangu mimi ni maajabu au ulitaka niandike stori za kufikirika aiendelei na nimefika mwisho
Ni kweli, ajabu ni linalostaajabisha mtu.Unajua hata mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuwa kuchafu, kulivyo disorganize kwake ni maajabu
Sasa Mkuu kwa level ya mtu ambaye umeweza hadi ku-post humu hicho ulicho-post kinaweza kuwa maajabu kweli? Shida iko hapo.Nilivyokua mdogo kuna rafiki yangu alikuja napoishi palikuwa ni uswahilin tuakenda dukani kwake yeye aliona maajabu kuona watu wananunua mafuta ya mia tatu au mia
Kwa hiyo neno maajabu lina maana kubwa sana ukienda umasain utashangaa sana kuona maisha wanayoishi kwako itakua ni maajabu