Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 328
Jamaniiiiii dar kunani????is this a case to discussed by jf great thinkers? are you among the men of Dar-es-salaam?
illusionsKuna binti mmoja 24 yrs nimemtolea kishika uchumba kwao sasa pasaka nikammwambia sina kitu yeye kanijibu tusijuane tena sasa cha ajabu juzi alhamisi ananisumbua kwa meseji kuomba radhi ilihali nimepata msambwenda mwingine alijiona lulu sasa anajuta
Utaelewa tu!Jamaniiiiii dar kunani????
Kama mleta mada ni member wa kapuku, utajuta Mkuu.Ushashiba wali wa mama unakuja kutujazia thread tu
Kwanza utakubalije kujiita au kuitwa kapuku mtu na akili zako timamu" i don't lke tht word, ila harakat zao nazikubaliKama mleta mada ni member wa kapuku, utajuta Mkuu.
Afadhali umenisaidia kuuliza. Kati ya vitu vinavyokera Jf ni kuifananisha lugha ya humu na fb.Unataka ninii sasa?tukushauri au kututaarifu?
Laiti ningejua uja yakishatoa...!