Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

Kweli wewe na akili yako unapost huu ujinga wa magroup yenu ya WhattsApp hapa kwa Greater thinkers.

Kwaiyo wewe ni mwanaume/mwanamke. Kama wewe ni mwanaume kama mm, sema kama hayo ndio mahitaji yako tu!

Kila mwanaume anahitaji unyumba? Hufikirii zaidi ya hapo kweli.

Mahitaji ya mwanaume ni haya hapa:-

  1. Ibada (kanisani/msikitini/pangoni utajua mwenyewe)
  2. Kupata watoto/ japo ni maaliwa
  3. Kusomesha
  4. kutunza familia (zote mbili)
  5. Kujenga nyumba
  6. Kulima/biashara/ajira
  7. Basic needs (Chakula/mavazi/malazi yanapatikina on time)
  8. ....................................
  9. ......................................
  10. ...................................
  11. ......................................
  12. Kupumzika
  13. .....................................
  14. .........................................
  15. ....................................
  16. Kuoga mwili
  17. ...........................
  18. ..............................
  19. ......................................
  20. .....................................
  21. Burudani (bia/dansi za zamani/rumba)
  22. ..................................
  23. .............................
  24. .................................
  25. ................................
  26. ...................................
  27. ................................
  28. Matibabu
  29. ............................
  30. .............................
  31. .............................
  32. ...............................
  33. Unyumba
  34. .............................
  35. ...................................
  36. ....................................

Wewe hayo mahitaji yako umeyatoa wapi, waulize wanaume wote, watakuambia hayo ndio ya kwao, otherwise wewe mtoto wa Dar es Salaam, ndio mawazo yenu hayo. Umario umewazidi.
 
Nimecheka si kidogo, ngoja uliowataja waje.
 
Mkuu hapo kwenye namba 55 Ndio kila kitu kwao siku hizi
 
natamani kama wanaume tuanzishe kampeni ya kuwazingua hawa ili waache kuendekeza us£n&e
 

Hahahaaaaaaaa,Upo sahihi kwa namna fulani hivi,wake (wanawake) wanatamani hayo yote toka kwa Mume (wanaume).
 
Jamani! Jamani!! Huu ni uonevu sasa, wanataka tupambane hadi na vyuma!!
 
mkuu umesahau haya.

KWA MWANAUME
0.5: mtu wa kumgombeza mambo yako mengine yakikwama huko.

KWA MWANAMKE
67: mtu wa kuambiwa tu matatizo shida, jinsi alivyo udhiwa na watu wengine hata kama wewe hautatoa majibu lakini we sikiliza tu.


Note.
Naamini haya hayataapply kati yangu na Heaven Sent
 
Unakumbana na watoto maana ndio wasumbufu
Yeah! mkiwa mnapigwa mimba bandika bandua usumbufu kwakweli utapungua kwa kiasi kikubwa sana na uzee na wenyewe lazima uwanyemelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…