Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 473
- 781
Inawezekana mimi nikawa kama ulivyoniita lakini unajua asilimia kubwa wafanyabiasha wengi wanaolipa kodi na leseni ni wafanyabiashara wa mitaji ya kawaida? Mfano kuna watu wa stationary wana mitaji chini ya 4m vp hawa wote wasipolipia leseni halmashauri zitapata wapi pesa ? Na vipi ushuru wa Masoko na minada halmashauri wakiacha kuchukua watajiendesha vp?
Pamoja na kwamba umeniita mpumbavu lakini kuna siku utakuja kuniambia au serikali kubadilisha matumizi ya vitambulisho hivi.
Asante
Kusaga alikuwa DJ but today ni mmiliki wa one of powerful media house.... Endeleeni kushangaaMkuu hapo maajabu ni yapi? Mimi nadhani maajabu yako nchini Uganda ambapo kiongozi Mkuu wa upinzani mwenye wafuasi million 2 alikuwa DJ
Wakishaviuza vyote say viko milioni 2 watakua wamepata 40,000,000,000. Halafu watasema hivyo ni kwa ajili ya xmas duty and death levy. Kodi zingine zote mnalipa kama kawaida mpaka VAT ya ushuru wa soko.Tatizo ni serikali kushindwa kutoa mwongozo unaoeleweka, usishangae ugomvi wa mgambo wa halmashauri ikarudi upya.
Serikali iteo elimu ya kutosha kuhusu hivi vitambulisho, au wanasubiri wauze kwanza ndio waje na elimu ya ufafanuzi kuhusu hivyo vitambulisho.?
Maajabu akienda kumuona mgonjwa, mgonjwa haponiMkuu hapo maajabu ni yapi? Mimi nadhani maajabu yako nchini Uganda ambapo kiongozi Mkuu wa upinzani mwenye wafuasi million 2 alikuwa DJ
Akujibu hayo maswali..tujue kosa la wafanyabiashara ni nini?Rais alisema mwenye kitambulisho hasisumbuliwe na TRA wala halimashauri halafu wewe leo unasema watasumbuliwa na halimashauri kwa ushuru.
Ina maana haukumuelewa Rais?
Au umeandika kujifurahisha na kuwafurahisha wapumbavu wenye chuki na taifa lao?
Au umeamua tu kuwa mpumbavu bora wa mwezi?
Swali la mwisho, unajua maana ya maajabu?
Mwambie mwalimu mkuu akurudishie karo yako since you got nothing in your schooling.
Ccm hutawala kwa kutumia ujinga wa tz so wakitoa elimu tu havichukuliki sasa itakuwaje 20000*25000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni serikali kushindwa kutoa mwongozo unaoeleweka, usishangae ugomvi wa mgambo wa halmashauri ikarudi upya.
Serikali iteo elimu ya kutosha kuhusu hivi vitambulisho, au wanasubiri wauze kwanza ndio waje na elimu ya ufafanuzi kuhusu hivyo vitambulisho.?
Kaniela mumo?Uko sahihi kabisa.
Hizo story zenu tuu upande wa pili,kigangwalla ni mzima tele wakati hata damu ya rais aliongezewaMaajabu akienda kumuona mgonjwa, mgonjwa haponi