chonya of chilonwaMwandishi atakuwa mgogo
Hahaaaa aiseeSamaki wabichi kibua wanapatikana ziwa Victoria, wakavu wanapatikana bahari ya hindi.
Ujinga ni km kifoebu watafute kwa namba za simu hizo hapo ili wakujuze zaidi nini walikuwa wana maanisha na kwanini hawaja badili kama wana fahamu kuwa wamekosea....
Na kweli kwa wengine ni kero kuna neno"tu" mtu anaandika" tyuu"Kadri siku zinavyokwenda wataandika xelf kabisa, machoko wanazingua sana. Angalia wanavyoharibu maneno;
Siku - cku
Sana - xna
Simu - cm
Ongezeeni na nyie wana jf, me huwa nakereka sana mtu akiniletea uandishi wa hivyo.
Sijibu meseji za hiviKadri siku zinavyokwenda wataandika xelf kabisa, machoko wanazingua sana. Angalia wanavyoharibu maneno;
Siku - cku
Sana - xna
Simu - cm
Ongezeeni na nyie wana jf, me huwa nakereka sana mtu akiniletea uandishi wa hivyo.
DuuuuhSijibu meseji za hivi
Zamu ya wagogo sasa, afadhali sie wazaramo kikombe cha kutukanwa kila siku pamoja na kuwakaribisha mji wetu kimetuepuka. Wagogo mnalo hilo, vumilieni tu.Wagogo wengi ni 0
Hahahaaaaa hawa watani zangu ni vichwa majiZamu ya wagogo sasa, afadhali sie wazaramo kikombe cha kutukanwa kila siku pamoja na kuwakaribisha mji wetu kimetuepuka. Wagogo mnalo hilo, vumilieni tu.