Kumbe anazaa akiwa kasimama....!!!
Kweli maajabuTena haangukii kwenye sponge!.
Mtoto wa twiga anapozaliwa anadondokea ardhini mita mbili kutoka tumbo la mama yake lakini ajabu haumii! Miujiza ya Mungu ni mingi.
View attachment 316808 View attachment 316808 View attachment 316810
Kwa hiyo swali usilolijua jibu lake, jibu lake ni mungu?Mtoto wa twiga anapozaliwa anadondokea ardhini mita mbili kutoka tumbo la mama yake lakini ajabu haumii! Miujiza ya Mungu ni mingi.
View attachment 316808 View attachment 316808 View attachment 316810