Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
- Thread starter
-
- #21
Tanzania labda Mlima Kilimanjaro ndio Maajabu makubwa kingine hakuna.Na Tanzania hakuna hata moja?
Tanzania labda Mlima Kilimanjaro ndio Maajabu makubwa kingine hakuna.
Glass Bottom Skywalk- Grand Canyon- Arizona
Naam, na hii ipo nchini mwake!Jakaya Kikwete: World most travelled President
Mkuu ukifika Arz. Aaaah tutakburuza hata kwa kamba za mkonge utapandautapanda noway!! ufike afu sijui uhahe!Huku hunipandishi hata kwa mtutu wa bunduki.