ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,221
- 6,450
Mtasalimiwa na Boss la DP World
Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa.
1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana habari na huo mfungo na hawautambui.Ila wote ni waumini wa Kristo.
2.Wakati kuna waislam wamemaliza RAMADHAN leo na wamefanya ibada maalum leo kuna wengine leo bado wamejinyima wakiendelea kumlilia Mungu wao wakiamini Mwezi bado haujaonekana.
Maaajabu gani mengine unayaona hapo ndugu mdau?
Hakika Wamishonari na Waarabu walituweza.