Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hata kwa self ilikuwa hivyo ni 50/50mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569
Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?
Source: ITV
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569
Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?
Source: ITV
tatizo liko wapi hapo?
tatizo liko wapi hapo?
The chances of that happenning can be mathematically calculated, very remote indeed. Kuna jambo hapo.
Bila nguvu ya umma kama ya Kenya,Zimbabwe na Ivory Cost hakuna uchaguzi wa haki chini ya CCM na mawakala wake(Tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama).hapa zengwe limechezwa
Kama mtu anachakachua kwanini aweke kura moja si angeweka hata 100?