Elections 2010 Maajabu ya uchaguzi huko Shinyanga: CCM washinda kwa kura MOJA

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569

Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?

Source: ITV
 
uchakachuaji dhahiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii :rip:CCM
 
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569

Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?

Source: ITV
hata kwa self ilikuwa hivyo ni 50/50
 
Jaji Makame na mwenzie Kiravu wanatekeleza matakwa ya muajiri wao ambaye ni JK, ila mwisho wao unakaribia
 
mmmmh nahisi wamechakachua hiyo kura moja maaana thithiem safari hii wamekuja na mbinu mpya
 
mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569

Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?

Source: ITV

tatizo liko wapi hapo?
 
tatizo liko wapi hapo?

Hamna tatizo, bali ni maajabu: Hii haitokei mara kwa mara hata kama wapiga kura wangekuwa kumi na moja na wagombea wawili, ungekuta matokeo yanakuwa 7-4 au 8-3, ni nadra kuwa 5-6! Kwa hiyo kwa idadi ya close to 40,000 voters toauti kama inakuwa ni maajabu.

Lakini pia ingependeza kama mleta mada agetoa takwimu kamili:
- Waliojindikisha kupiga kura
- Waliopiga kura
- Kura zilizoharibika
- Mgombea wa CCM
- Mgombea wa CHADEMA
 
article-0-04D32884000005DC-39_468x329.jpg
 
The chances of that happenning can be mathematically calculated, very remote indeed. Kuna jambo hapo.
 
tatizo liko wapi hapo?

tatizo nikwamba kule rombo walichakachua wakafikiri zimetosha, lakini shynga walilazimisha baada ya ya kutangaza kuwa shelembi alikuwa mshindi lakini baada ya chadema kuingia mtaanii kusherehekea, wakarudi tena na kutangaqza kuwa mshindi ni masele kama ulikuwa unafuatilitilia shy kulikuwa na fujo zaidi ya ile ya mwanza, lakini vyombo vya habari vya ccm walitaka attention iwe mwanza ili isijulukane kuna nini shinyanga lakini fujo zimechukua zaidi ya siku 3, ni dhairi tumeibiwa kura, maan hata msimamizi wa kura wa shynga mjini alipata shinikizo atangaze matokeo hayo ambayo yalimfanya apate BP na kulazwa shy govy hospital,bado huoni tatizo liko wapi hapo:bowl:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom