Maajabu ya uchaguzi huko Shinyanga: CCM washinda kwa kura MOJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya uchaguzi huko Shinyanga: CCM washinda kwa kura MOJA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Saint Ivuga, Nov 4, 2010.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,763
  Trophy Points: 280
  mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569

  Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?

  Source: ITV
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uchakachuaji dhahiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii :rip:CCM
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hata kwa self ilikuwa hivyo ni 50/50
   
 4. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  :A S angry:Mwe! Ama kweli ukistaajabu ya Msa! Looh!
   
 5. babaT

  babaT Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaji Makame na mwenzie Kiravu wanatekeleza matakwa ya muajiri wao ambaye ni JK, ila mwisho wao unakaribia
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mmmmh nahisi wamechakachua hiyo kura moja maaana thithiem safari hii wamekuja na mbinu mpya
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  tatizo liko wapi hapo?
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Yaani 49.99865% kwa 50.00135%
   
 9. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii kali mno...cha cha cha!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hamna tatizo, bali ni maajabu: Hii haitokei mara kwa mara hata kama wapiga kura wangekuwa kumi na moja na wagombea wawili, ungekuta matokeo yanakuwa 7-4 au 8-3, ni nadra kuwa 5-6! Kwa hiyo kwa idadi ya close to 40,000 voters toauti kama inakuwa ni maajabu.

  Lakini pia ingependeza kama mleta mada agetoa takwimu kamili:
  - Waliojindikisha kupiga kura
  - Waliopiga kura
  - Kura zilizoharibika
  - Mgombea wa CCM
  - Mgombea wa CHADEMA
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  The chances of that happenning can be mathematically calculated, very remote indeed. Kuna jambo hapo.
   
 13. b

  bulunga JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tatizo nikwamba kule rombo walichakachua wakafikiri zimetosha, lakini shynga walilazimisha baada ya ya kutangaza kuwa shelembi alikuwa mshindi lakini baada ya chadema kuingia mtaanii kusherehekea, wakarudi tena na kutangaqza kuwa mshindi ni masele kama ulikuwa unafuatilitilia shy kulikuwa na fujo zaidi ya ile ya mwanza, lakini vyombo vya habari vya ccm walitaka attention iwe mwanza ili isijulukane kuna nini shinyanga lakini fujo zimechukua zaidi ya siku 3, ni dhairi tumeibiwa kura, maan hata msimamizi wa kura wa shynga mjini alipata shinikizo atangaze matokeo hayo ambayo yalimfanya apate BP na kulazwa shy govy hospital,bado huoni tatizo liko wapi hapo:bowl:
   
 14. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hapa zengwe limechezwa
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uwezo wao wa kuchakachua ndo ulipoishiaaaaaaaaaaaa
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,763
  Trophy Points: 280
  i always respect your posts
   
 17. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  This is more than too Much . CCM achani Mambo ya aibu na kitoto
   
 18. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bila nguvu ya umma kama ya Kenya,Zimbabwe na Ivory Cost hakuna uchaguzi wa haki chini ya CCM na mawakala wake(Tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama).
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama mtu anachakachua kwanini aweke kura moja si angeweka hata 100?
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,763
  Trophy Points: 280
  atawekaje 100 wakati watu wamemkaba? HANA A KUTOKEA
   
Loading...