Maajabu ya Tunda la Parachichi

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210512_024707_463.jpg

Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba

Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake

Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni

Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
 
View attachment 1781483

Nilipata mda wakufatilia kidogo kuhusu maswala ya mimea na mwili wa binadamu kipindi flani lakini ni jambo na somo zuri kulielewa sana.
Mili yetu na mimea iko very compatible kiasi kwamba haijawai kutokea mtu kupata allergic reactions akitumia mmea plus mmea hauna over dose.
Kila mmea unakazi yake kwenye mwili nikujua mmea gani unaitajika wapi na kwa kazi gani, lakini cha ajabu Mungu katupa nafasi yakutuonyesha kwa shape ya mmea na organ ya mwili kufanana.Kuna mengi sana tuishie hapa kwa leo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1781483

Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba

Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake

Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni

Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
Hii ni changamoto, yaani miezi 9 kuanzia maua hadi tunda kukomaa? Yaani maparachichi uzao wake ni mara moja kwa mwaka?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom