Maajabu ya Tanzania.

Yaani Tanzania ni kama bustani ya Eden inayoongelewa kwenye vitabu vitakatifu kuwa ilikuwapo kati ya mto Tigris na Euphrates. Mungu alitupa kila kitu labda tunakosa uongozi bora tu.
Ipo siku tutayavuka haya hata kwa kupitia kizazi kijacho!
 
Ipo siku tutayavuka haya hata kwa kupitia kizazi kijacho!
Ni kweli, hasa ukizingatia kuwa hata madini yaliyokwisha chimbwa hayafiki 5% ya reserve iliyopo ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…