Maajabu ya Tanzania yangu

Maajabu ya Tanzania yangu

fox

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
342
Reaction score
665
Wanajamvi habari zenu,
Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno.

Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati.

Juzi namsikiliza Kamishna mkuu wa TRA bila aibu anasema eti anawapa wale walio na kazi selikarini siku sijui 21 za kuripoti. Binafsi yangu nilitarajia pale pale kigezo cha kuwa na check namba tu iwe ndo tiketi ya moja kwa moja ya kutopata kazi serikarini unless uache kwanza ndio uombe tena.

Imagine kama trend ndio hii basi tatizo la ajira haliwezi kuisha kamwe na kila siku serikali itakuwa inaingia hasara kuajiri watu alafu wanaomba tena serikarini hapo hapo.Nonsense kabisa.

Kama mtu haridhiki kukaa Chato au Nachingwea anataka kukaa Posta Dsm afanye utaratibu wa kuama tu ila sio kuomba ajira tena na kuwabania vijana wetu wanaozunguka mtaani

Nawasilisha.
 
Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati.Juzi namsikiliza Kamishna mkuu wa TRA bila aibu anasema eti anawapa wale walio na kazi serikarini siku sijui 21 za kuripoti.Binafsi yangu nilitarajia pale pale kigezo cha kuwa na check namba tu iwe ndo tiketi ya moja kwa moja ya kutopata kazi serikarini unless uache kwanza ndio uombe tena.Imagine kama trend ndio hii basi tatizo la ajira haliwezi kuisha kamwe na kila siku serikali itakuwa inaingia hasara kuajiri watu alafu wanaomba tena serikarini hapo hapo.Nonsense kabisa.

Kama mtu haridhiki kukaa chato au Nachingwea anataka kukaa posta Dsm afanye utaratibu wa kuama tu ila sio kuomba ajira tena na kuwabania vijana wetu wanaozunguka mtaani

Nawasilisha.
ingekuwa hivyo unavyotaka basi tuliooa tungekuwa tunanyimwa uletezi na pisi kali eti sababu tumeshaoa.
 
Acha uzinzi bro.
iko hivi, hao wanoomba kazi wakipata wanafanyiwa categorization,
sasa mtu kachoka kazi anayoifanya kwa nini asiombe nyingine kwenye field nyingine alosomea.

wewe unataka waache kwanza kazi kabla ya kupata, ndoa zinavunjwa baada ya kupata mwenza mwingine.
 
Akichoka si aache tu kwani analazimishwa kufanya asichotaka
Elewa hoja yangu kwanza.Sioni sababu ya mtu aliye na kazi kupata kazi na hasiye na kazi kukosa kazi.Hali hiyo haileti uwiano mzuri

Pia ni kuingiza hasara serikarini unnecessarily kbs.Kama hoja ni kuchoka kazi basi aombe transfer ila sio kuomba kazi kama fresher wakati tayari anayo kazi.
 
Wanajamvi habari zenu,
Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno.

Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati.

Juzi namsikiliza Kamishna mkuu wa TRA bila aibu anasema eti anawapa wale walio na kazi selikarini siku sijui 21 za kuripoti. Binafsi yangu nilitarajia pale pale kigezo cha kuwa na check namba tu iwe ndo tiketi ya moja kwa moja ya kutopata kazi serikarini unless uache kwanza ndio uombe tena.

Imagine kama trend ndio hii basi tatizo la ajira haliwezi kuisha kamwe na kila siku serikali itakuwa inaingia hasara kuajiri watu alafu wanaomba tena serikarini hapo hapo.Nonsense kabisa.

Kama mtu haridhiki kukaa Chato au Nachingwea anataka kukaa Posta Dsm afanye utaratibu wa kuama tu ila sio kuomba ajira tena na kuwabania vijana wetu wanaozunguka mtaani

Nawasilisha.
Mwendo kujua kujuana,connection konekshenino,Mlungula,mlungulanino,unanitoaje,unaniachaje.
 
Kazi haitangazwi kumaliza tatizo la ajira.

Kazi inatangazwa kumpata mtu sahihi wa kuifanya.

Na kama mtu sahihi yupo serikalini tayari, ni haki yake kuitafuta hiyo kazi.

Na kama sifa zake zinezidi za wagombea wengine, akiipata hiyo kazi ni sawa tu.
 
Akichoka si aache tu kwani analazimishwa kufanya asichotaka
Elewa hoja yangu kwanza.Sioni sababu ya mtu aliye na kazi kupata kazi na hasiye na kazi kukosa kazi.Hali hiyo haileti uwiano mzuri

Pia ni kuingiza hasara serikarini unnecessarily kbs.Kama hoja ni kuchoka kazi basi aombe transfer ila sio kuomba kazi kama fresher wakati tayari anayo kazi.
ukiomba transfer unaenda kufanya kazi ileile, hao wanaoomba kazi hawaombi kazi ileile, wanakuwa recategorized
 
Kazi haitangazwi kumaliza tatizo ka ajira.

Kazi inatangazwa kumpata mtu sahihi wa kuifanya.

Na kama mtu sahihi yupo serikalini tayari, ni haki yake kuitafuta hiyo kazi.

Na kama sifa zake zinezidi za wagombea wengine, akiipata hiyo kazi ni sawa tu.
Sasa mkuu uko anakotoka si lazma serikali itafute mtu wa kuziba tena na huoni kuwa ni sawa Abdallah kumuita Dulla.
Mbona utumishi wako clear and clean kuwa kama una kazi serikarini huruhusiwi kuomba tena serikarini.Maana yake ni kuwa acha kazi kwanza ndio uombe otherwise haileti maana yeyote na ni kuongeza gharama tu bila sababu za msingi.
 
Wapi utumishi wamesema kama una kazi serikalini huruhusiwi kuomba kazi tena serikalini mkuu?

Mimi naongelea kimantiki tu sijafuatilia sana ajira za serikali Tanzania.
 
Kisa wewe hujapata unataka kuwabania wenzio, ukipata utataka ibadilishwe iwe nyie mnaotaka kubadili fani mpewe kipaumbele halafu jobless wachukue nafasi mtazoacha.
 
Mbona utumishi siku hizi wanasema loud and clear mzeee,Fuatilia tu utaona.
 
Attachments

  • Screenshot_20250610-191904_Gallery.jpg
    Screenshot_20250610-191904_Gallery.jpg
    765.3 KB · Views: 17
Kisa wewe hujapata unataka kuwabania wenzio, ukipata utataka ibadilishwe iwe nyie mnaotaka kubadili fani mpewe kipaumbele halafu jobless wachukue nafasi mtazoacha.
Mkuu,Mimi sihusiki ktk ajira na wala sijakosa asee na sitaki kubania mtu ila najaribu kuhoji tu kimantiki.
 
Mbona utumishi siku hizi wanasema loud and clear mzeee,Fuatilia tu utaona.
Shukurani.

Wanaposema "hizi ni nafasi za Ajira mpya" wanamaanisha sharti hili ni kwa kazi mpya (newly created jobs) au nafasi zilizotangazwa tu kwa mfano kazi ipo siku nyingi ila mtu kastaafu inatangazwa vacancy mpya kwa kazi ambayo ipo siku nyingi?
 
Akichoka si aache tu kwani analazimishwa kufanya asichotaka
Elewa hoja yangu kwanza.Sioni sababu ya mtu aliye na kazi kupata kazi na hasiye na kazi kukosa kazi.Hali hiyo haileti uwiano mzuri

Pia ni kuingiza hasara serikarini unnecessarily kbs.Kama hoja ni kuchoka kazi basi aombe transfer ila sio kuomba kazi kama fresher wakati tayari anayo kazi.
Ukieleweshwa utaelewa. Mtu ana diploma ya ualimu kafanya kazi miaka mitano akaomba kwenda kusoma, akaenda kusoma digrii ya uhasibu, akirudi zikitangazwa kazi za uhasibu anaomba kuhamia huko. Na kama hujui zipo kazi kabisa huwa zinatangazwa za watu kuhamia tu, sio za ajira mpya. Huyo mtu akiondoka kwenye position yake atatafutwa mwingine wa kuziba nafasi yake, ni yaleyale kijana wangu
 
Kazi haitangazwi kumaliza tatizo la ajira.

Kazi inatangazwa kumpata mtu sahihi wa kuifanya.

Na kama mtu sahihi yupo serikalini tayari, ni haki yake kuitafuta hiyo kazi.

Na kama sifa zake zinezidi za wagombea wengine, akiipata hiyo kazi ni sawa tu.
Kiongozi umeniongeza kitu kichwani, kwamba “kazi haitangazwi kumaliza tatizo la ajira, inatangazwa kutafuta mtu sahihi wa kuifanya” noma sana
 
Back
Top Bottom