Maajabu ya Supu Ya Pweza

ati vijana wanaamini inaleta manguvu ya kiume asa sijui kweli, sijawahi test na sitegemei kujaribu.
 
dawa ya ndoa !!!!!!!!!! nilisikia kwa baadhi ya wafanyakazi wa makumbusho ya taifa mjini dr es salaam. na hawaiti pweza wanasema dawa ya ndoa kama sijakosea.......
 
uwa wanachanganya na vidonge vya VIAGRA wakati wa kuchemsha,ni hatari kwa afya ukiiendekeza!
 
Good thing is, there r always alternatives!

Ndo maana usukumani hakuna iyo pweza ila wanapiga game fresh tu!!!
kama hiyo supu ya pweza hunywi mwenzangu unakula nini baada yake au boko boko na Almond?
kuna mtu alinambia akila hivyo ngoma inakua juu kama msumari wa koti.....
 

Naomba kutoka nje ya mada..., Hivi mwaka mzima uliokaa ndani ya Jamii Forums hujaona topic ambayo umeipenda ukatupia like??????
 

Nimeshangazwa kuona huijui faida ya supu ya pweza lakini siredi yako umeileta mmu hukuipeleka jukwaa la afya
 
tatizo la nguvu za kiume limekuwa kubwa sana sasa

mi nadhani hilo ndo lilikuwa la kujadili. Tungekuwa tumekata mti kwenye shina na sio kushambulia matawi kama tunavyofanya sasa.
 
kama hiyo supu ya pweza hunywi mwenzangu unakula nini baada yake au boko boko na Almond?
kuna mtu alinambia akila hivyo ngoma inakua juu kama msumari wa koti.....

Wewe si ni -KE? mbona kunchokonoa mume wa mwenzio!!!
 
Hakuna lolote basi tu wavivu wa pwani wanaipa promo kijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…