Maajabu ya siasa za tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya siasa za tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo Mkuu, Mar 21, 2011.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siasa za Tanzania zina vituko vingi. Juzi vyombo vya habari vimeripoti kuwa Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli amejiuzuru wadhifa wake. Kwa mshangao wangu, Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi akakanusha kwenye vyombo vya habari. Kuna maswali mengi hapa. 1. Je Katibu mkuu wa Wizara ndiye msemaji wa Serikali ya Tanzania?
  2. Aliyeripotiwa kujiuzuru ni Magufuli, inakuwaje asemewe na watu wengine? Kwanini Magufuli mwenyewe hakukanusa "uvumi huo"?
  3. Hivi waziri wa habari wa Tanzania anafanyakazi gani kama siyo kutoa taarifa za serikali.?
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa hivi jukumu la msemaji wa serikali ni kama limekufa maana kila mtu hata wa ngazi ya kijiji amekuwa msemaji wa jambo lolote. Mwenyekiti wa kijiji anaweza kulisema jambo kubwa la kitaifa na watu wote tukakawa kimya.:embarassed2:
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwani Lowassa alipojiuzulu, nani alitangaza uamuzi wake huo, yeye mwenyewe au waziri wa habari?
   
Loading...