Ni watu wasioielewa tu, hata wawe na PhD, wasiojua kuwa ajira is a function of new businesses na si ajira za serikali.
Nikuulize kwanza, unafanya biashara au umeajiriwa?Biashara zipi mpya zilizofunguliwa tokea kuingia kwa awamu ya tano? Biashara ngapi zilikufa? Mahitaji ya ajira yalikua kiasi gani?
Yasemekana kuna ajira mpya huku:
Nini suluhisho la biashara ya ukahaba na mapenzi ya jinsia moja nchini?
Waliolaaniwa wameshakufa!Hongera umepata gongo la kumpigia mbaya wako JPM. Ulaaniwe na ukoo wako wote kuhangaika na waliofariki
Nikuulize kwanza, unafanya biashara au umeajiriwa?
Nyote mlaaniwe na roho zenu za husda. Mnaongea vitu kufuata mkumbo. Unashangilia mtoto akipata mimba arudi darasani, kwa wapuuzi kama brazaj sawa ila mwenye akili hawezi kufurahia maana serikali inatakiwa kuhakikisha mtoto ambaye hajawa tayari kubeba mimba haibebi.Waliolaaniwa wameshakufa!
Hatuwezi kulaaniwa ili kuridhisha roho yako dhalimu.Nyote mlaaniwe na roho zenu za husda. Mnaongea vitu kufuata mkumbo. Unashangilia mtoto akipata mimba arudi darasani, kwa wapuuzi kama brazaj sawa ila mwenye akili hawezi kufurahia maana serikali inatakiwa kuhakikisha mtoto ambaye hajawa tayari kubeba mimba haibebi...
Dont beat around the bush, kuna tofauti kubwa hapo la uelewa kati myafanyabiashara namwajiriwa.Biashara na kuajiriwa zote ni ajira ndiyo maana beberu akaita business.
Dont beat around the bush, kuna tofauti kubwa hapo la uelewa kati myafanyabiashara namwajiriwa.
Hicho chama kinatakiwa kufutwa dunianiKumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali.
Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye:
1. Uwepo wa Corona
2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona
4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea shule.
Ikumbukwe tumepita huku:
View attachment 2022822
Kwamba leo tuko hapa:
View attachment 2022824
Kipi walicho tunyanyapaa nacho, walikomaa nacho hadi mwisho?
Tutafika tu. Kwani wala ipo hiyana basi? Ya msingi zaidi yanayobakia:
I. Mbowe siyo gaidi
II. Tunataka katiba mpya.
Hawa ni suala la muda. Tutaelewana tu.
View attachment 2022825
Kwamba leo ajira zimeongezeka?
Labda kama ni mahsusi kwa ajili ya kuwaambia ndege.
Wana backward and stupid mindsetTatizo la CCM ni kuwa, chochote kinachoongelewa au kinachoshauriwa na wapinzani wao (hasa Chadema) wao ni lazima wapinge. Wanahisi kama wakikubali, watawapa wapinzani wao credit. Always, they think politics
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hao watu 4 walioletwa na mtoa mada wote ni marehemu?Hongera umepata gongo la kumpigia mbaya wako JPM. Ulaaniwe na ukoo wako wote kuhangaika na waliofariki
Hongera umepata gongo la kumpigia mbaya wako JPM. Ulaaniwe na ukoo wako wote kuhangaika na waliofariki
Ccm has run out of new ideasNchi inahitajika mwanzo mpya kabisa