Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo:
Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5 zote ndani ya mwezi mmoja!
Inatokea mara moja kila baada ya miaka 823
Nimesema October ya 2010! Hiyo uliyotaja siyo October.
Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo:[/B
Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5 zote ndani ya mwezi mmoja!
Inatokea mara moja kila baada ya miaka 823
na leo ni 10/10/10!!!!!
Kuna harusi hapa kijijini nyingi kuliko za kawaida.. !
ulifikiria nini?
Nimesema October ya 2010! Hiyo uliyotaja siyo October.
Na ajabu nyingine kubwa kabisa kwa Tanzania, itatokea October 31, haijawahi kutokea tangu tupate uhuru na wengi hawataamini kuwa ni kweli itatokea, subirini muujiza huo wa kubwa kuliko!Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo: