kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,303
- 2,769
Great!!!Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha π― asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
π Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
π Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
π Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
π Je, wajua kuwa asali ni miongoni mwa vyakula vichache duniani vinavyoweza kukimu maisha ya mwanadamu kivyake?
π Je, wajua kuwa nyuki waliwaokoa watu kutokana na njaa barani Afrika?
π Je, unajua kwamba propolis, inayozalishwa na nyuki, ni mojawapo ya dawa za asili zenye nguvu zaidi?
π Je, wajua kuwa asali haina tarehe ya mwisho wa matumizi?
π Je wajua kuwa miili ya wafalme wakubwa duniani ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza?
π Je, unajua kwamba neno "honeymoon" linatokana na utamaduni wa watu waliooana kula asali ili kuongeza uzazi baada ya ndoa?
π Je, unajua kwamba nyuki anaishi chini ya siku 40, anatembelea angalau maua 1,000, na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa nyuki, ni kazi ya maisha yote?
Asante, nyuki wa thamani..! ππ
Credit: Jrβ’ CreatorsView attachment 3206413
Unataka kidonda kichimbike na kuoza? Acha uongoAsali ni tamu lakin ukila kupita kiasi inakuwa chungu. Pia asali inatibu wale waliopata majeraha ya kuungua na moto au maji ya moto.
Chukua ngozi ya ng'ombe kipande kidogo kiunguze kwa moto au mkaa upate mkaa au upate unga wake kisha chukua huo unga wa wa ngozi ya ng'ombe changanya na asali halaf paka kwa jeraha.
Tumeelewana?????
Sio kukupalia, hata ukichanganya na tango, unakufaa."Asali ikikupalia unakufa" huu msemo ni kweli au fiksi tuu za ili tusile asali? π
Wee hizi tunazo rina wenyewe msituni nazo fake? Mbna tunatoa Og kutoka kwa nyuki halisiaJe wajua kuwa asali nyingi zilizopo kwenye soko nchini Tanzania ni ghushi (fake)
Aisee! Sio poaSio kukupalia, hata ukichanganya na tango, unakufaa.
Chips yai the unbeatenThubutruuuuuuuuu...............chips yai imeshindikana kuanzia uswahilini mpaka kwenye mageti.............chips yai sasa inalea wajukuu kama si vitukuuu.......maana dada zetu waliliwa mpaka wakaliwa tena........
Sure broooChips yai the unbeaten
Hyo tango sio kweli...Sio kukupalia, hata ukichanganya na tango, unakufaa.
Basi sawaaHyo tango sio kweli...
Labda mtuelezee mechanism ipi inatokea Kufa kwa kupaliwa..??
Nini kinasababisha asali isiharibike?
Hii inafaa kwa binadamu pia, matatizo yangepunguaJe, unajua kwamba nyuki dume ufanya mapenzi mara moja tu na hupoteza maisha mara tu baada ya tendo?