Wa Nyumbani
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 438
- 67
Hahahaaaah!ndoto za Kimweri na rafiki yake Mangungo wa Musovero
Na ukiota unabakwa je?
Na ukiota unabakwa je?
M'bongo upo hapo? Sharo hiphop kajibu sawa. Yaani unavyoiota ndoto ukigeuza shuka na yule uliyemuota ataiota, hata kama ni dada au kaka yako. Lakini nimewaomba wana JF tufanye majaribio, hata mimi bado sijajaribu. Si tujaribu tu? Mimi nitajaribu na nikifanikiwa nitawakumbusha.