Maajabu ya namba '3'

Ktk lugha nyingi, neno linalomaanisha namba 3 linaanza kwa herufi T. Angalia: Tatu, Three, Trois (French), Thalatha (Arabic), Tin (Hindustan), ... endeleza.
 
hamnaa siku ina bored kamaaa j3...hamnaga mademu wakarimu kama kina tatu,wanawake wa pwani wanafundishwaa ndoa mafiga matatu,hata mshahara wangu na pokeagaa tare 3.....
 
Hata bajaj ina matairi matatu na taa za barabarani zina rangi tatu....teh teh teh.Dar es salaam pia ina wilaya tatu...duh hi kali hadi simu za siku hizi zina batani tatu
 
Mihimili ya dola ni mitatu bunge, serekali na mahakama.
 
Hata bajaj ina matairi matatu na taa za barabarani zina rangi tatu....teh teh teh.Dar es salaam pia ina wilaya tatu...duh hi kali hadi simu za siku hizi zina batani tatu

mmhuuu...batani tatu...
 
hamnaa siku ina bored kamaaa j3...hamnaga mademu wakarimu kama kina tatu,wanawake wa pwani wanafundishwaa ndoa mafiga matatu,hata mshahara wangu na pokeagaa tare 3.....

kweli ina "BORED"...
 
African: Triple Heritage ie Present Africa is a product of three influences namely indigenous heritage, western culture and Islamic culture (Mazrui)
 
Hata mwislam anapotawaza anatawaza kila kiungo mara 3
 
Hatauchaguzi mkuu wa nch ye2 umegawinyika sehemu 3 rais, wabunge na madiwani
 
Hata ukibisha hodi unagonga geti kwa fungu la tatu tatu!
 
Hata talaka mwisho ni 3
 
Newtons laws of motion tatu: First,second and third laws of motion. Pia laws of thermodynamics tatu ie Zeroth,first and second law of thermodynamics.
 
Hata kwenye maisha,1. KUZALIWA, 2.MAPENZI,3.KIFO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…